Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yamsaka Lema kwa vurugu

>Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa walijeruhiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

POLISI MBEYA YAMSAKA MWAKIFUNA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linafanya msako mkali kumtafuta HAKIMU JAMES MWAKIFUNA miaka [20] Mnyakusa wa Kiwira kwa kosa la Mauaji ya makusudi ya bibi JUNE SANKANYE miaka [65] wa kijiji cha Nkunga Kata ya Nkunga  {T} Ukukwe.
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe.  Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja.  Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.   
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Kilimanjaro yamsaka Papaa

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro, limeungana na Idara ya Uhamiaji kumsaka mfanyabiashara Emmanuel Kisima maarufu kwa jina la ‘Papaa’ anayetuhumiwa kuwa kinara wa mtandao wa kusafirisha wahamiaji haramu. Mfanyabiashara huyo...

 

9 years ago

StarTV

Polisi mkoani Kilimanjaro yamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya Kinyama aliyefahamika kwa jina moja la Edward baada ya kuwaua  kwa kuwakata mapanga na shoka  watoto wake wawili pamoja na mke wake Janeth Lazaro katika Kijiji cha Koboko Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Fulgence Ngonyani amesema  mtuhumiwa amefanya unyama huo majira ya saa nane usiku  na kutokomea kusikojulikana .

Majina ya Watoto waliouawa ni Glory Edward , Caren Edward...

 

10 years ago

GPL

POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kupiga mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa ulikuwa ukifanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo ilikuwa ikilalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA KUHUSIANA NA VURUGU YA WANANCHI BAADA YA POLISI KUUA MTU MMOJA


Wananchi wakiangalia moto uliowashwa na watu wasiojulikana wakati wa vurugu baina ya polisi na wananchi katika mji mdogo wa Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa jana. Picha ya Mtandao HUKO ILULA MKOANI IRINGA
Kilolo. Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa wananchi waliokuwa na hasira walichoma moto magari yaliyokuwa yameegeshwa...

 

11 years ago

GPL

LEMA AKAMATWA NA POLISI

Mbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema. Mbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha na kwa sasa anahojiwa na jeshi hilo!

 

10 years ago

Mtanzania

Lema amshambulia Polisi Chagonja

Paul Chagonjapg6Na Maregesi Paul, Dodoma

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), jana alimshambulia kwa maneno makali Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, kuwa anaweza kuwa anashirikiana na majambazi wanaovamia vituo vya polisi na kupora silaha.

Lema alitoa maneno hayo makali ya kumshambulia Chagonja bungeni jana, wakati akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali Kuu (PAC) na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
Akichangia hoja...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wakanusha kumuonea Lema

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasKAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amesema kuwa tuhuma alizotoa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema si za kweli.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lema ashusha tuhuma polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelilalamikia Jeshi la Polisi wilayani Arusha kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa waledi hali inayosababisha wanachama wao kupigwa na kujeruhiwa na wafuasi wa Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani