Lema amshambulia Polisi Chagonja
Na Maregesi Paul, Dodoma
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), jana alimshambulia kwa maneno makali Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, kuwa anaweza kuwa anashirikiana na majambazi wanaovamia vituo vya polisi na kupora silaha.
Lema alitoa maneno hayo makali ya kumshambulia Chagonja bungeni jana, wakati akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali Kuu (PAC) na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
Akichangia hoja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
NINGEKUWA MIMI GODBLESS LEMA, NINGETHIBITISHA KAULI YANGU KUHUSU CHAGONJA
11 years ago
GPL
LEMA AKAMATWA NA POLISI
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge Lema ajisalimisha Polisi
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Lema ashusha tuhuma polisi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelilalamikia Jeshi la Polisi wilayani Arusha kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa waledi hali inayosababisha wanachama wao kupigwa na kujeruhiwa na wafuasi wa Chama...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Polisi wakanusha kumuonea Lema
KAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amesema kuwa tuhuma alizotoa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema si za kweli.
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Polisi yaingilia majukumu ya Lema
HATUA ya Jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya wabunge wa upinzani majimboni kwao kwa kisingizio kwamba inagongana na ile ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemwibua Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Polisi yamsaka Lema kwa vurugu
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LAMPA ONYO MBUNGE GODBLES LEMA.
Na.Vero Ignatus ,Arusha
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limesema limepokea maelekezo ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ya kuhakikisha wachochozi wote pamoja na wanaochafua taswira nzuri ya nchi ya Tanzania wanakamatwa
Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa wamelipokea agizo hio na kulitekeleza kwa asilimia 100 na watawasaka popote walipo bila kujali nafasi zao walizonazo.
Alisema nimeona...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Chagonja ahamishiwa Zimamoto
Na Mwandishi Wetu
AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumhamisha Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja.
Habari za uhakika zilizopatikana mjini Dar es Salaam jana, zinasema Rais Magufuli amemteua Kamishina Chagonja kuwa Kamishina mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
“Rais amefanya mabadiliko madogo ndani ya Jeshi la Polisi, amemhamisha Kamishina Chagonja tangu jana (juzi)...