JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LAMPA ONYO MBUNGE GODBLES LEMA.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna.
Na.Vero Ignatus ,Arusha
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limesema limepokea maelekezo ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ya kuhakikisha wachochozi wote pamoja na wanaochafua taswira nzuri ya nchi ya Tanzania wanakamatwa
Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa wamelipokea agizo hio na kulitekeleza kwa asilimia 100 na watawasaka popote walipo bila kujali nafasi zao walizonazo.
Alisema nimeona...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pt9nsq0us3I/XsisLu6bYuI/AAAAAAAEHTM/iwG2Gn0qp5UwwfPRG-PZQ0Om5r0d92ChwCLcBGAsYHQ/s72-c/SHANA-NA-LEMA.jpg)
JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-pt9nsq0us3I/XsisLu6bYuI/AAAAAAAEHTM/iwG2Gn0qp5UwwfPRG-PZQ0Om5r0d92ChwCLcBGAsYHQ/s320/SHANA-NA-LEMA.jpg)
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ugJsdn-aHNg/XuT_j1Oj2GI/AAAAAAALtrc/FzzOJN-2b0MI50F22mmXrnWiA6ZRk_hvgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LAFANIKIWA KUZIMA TUKIO LA KUOZESHWA MTOTO WA MIAKA 12
Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa kuzima tukio la kuozeshwa kwa mtoto wa miaka 12 ambapo tukio hilo limetokea Kata ya Msa wilaya ya Arumeru ambapo wazazi wake walitaka kumuozesha kwa mwanume huyo kwa tamaa ya mahari na mifugo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Jonathan Shana amesema hivi karibuni kumeibuka wimbi hususani watu wenye tamaa ya mahari kutumia kipindi hiki ambacho wanafunzi wa shule za msingi na sekondari waliopo likizo kutokana na ugonjwa wa corona...
11 years ago
Habarileo28 Apr
Lema: Mimi Mbunge wa milele Arusha
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ametamba kuwa yeye ni Mbunge wa milele katika jimbo hilo.
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge Lema ajisalimisha Polisi
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wFGmgqD2Edo/VANbArf2GqI/AAAAAAAGYZo/0O_4a6QKiuc/s72-c/unnamed.jpg)
TRA NA JESHI LA POLISI WATOA ONYO
![](http://2.bp.blogspot.com/-wFGmgqD2Edo/VANbArf2GqI/AAAAAAAGYZo/0O_4a6QKiuc/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1IakUtC7aAc/VdOesSMNIuI/AAAAAAAHyD0/Ao_K4d4xP_o/s72-c/aaa.png)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-1IakUtC7aAc/VdOesSMNIuI/AAAAAAAHyD0/Ao_K4d4xP_o/s640/aaa.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-E_TqgsZUVxA/VdOd8pH2pxI/AAAAAAAHyDo/ZHeA-B7qXco/s640/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-88O_7eqxa34/VAdwgnSwTnI/AAAAAAACp88/pbONrSXpfmg/s72-c/02.jpg)
JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIAJI VIBAYA MITANDAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-88O_7eqxa34/VAdwgnSwTnI/AAAAAAACp88/pbONrSXpfmg/s1600/02.jpg)
======== ====== ====== JESHI la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri.
Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014 Msemaji wa Polisi,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEWLCMFOMVA7Cx8pm-jU3kEO9xu0CVrtDepeMA9q8bWUONbY7AkRrNgdVtvFMdQ5lIwLQ7OtGV-dUkV8KH4l7-rL/POLISI1.jpg?width=650)
JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA VIBAYA MITANDAO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bNZ5imqQQLI/Xl5FrgZ_RYI/AAAAAAAAkUA/CFGBrsP3aqAE9s0pZljFpxgIoRHuQvtHQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_0091.jpg)
MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ADAKWA MKOANI SINGIDA KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UWONGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-bNZ5imqQQLI/Xl5FrgZ_RYI/AAAAAAAAkUA/CFGBrsP3aqAE9s0pZljFpxgIoRHuQvtHQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_0091.jpg)
Na Ismail Luhamba, SingidaJESHI la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kwa tuhuma za kusamabaza taarifa za uongo kuwa watu 14 Wilayani Manyoni walifariki kwa kuchinjwa katika matukio mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike (pichani kulia) alisema wamemkamata Mbunge...