LEMA AKAMATWA NA POLISI
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Mbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema. Mbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha na kwa sasa anahojiwa na jeshi hilo!
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s72-c/IMG-20140802-WA0008.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s1600/IMG-20140802-WA0008.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kD77rECHH3Y/U9_aIYYQvLI/AAAAAAAF9G8/E7ptUtKJJIw/s1600/IMG-20140802-WA0009.jpg)
10 years ago
Habarileo23 Jun
Polisi wakanusha kumuonea Lema
KAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amesema kuwa tuhuma alizotoa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema si za kweli.
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Polisi yaingilia majukumu ya Lema
HATUA ya Jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya wabunge wa upinzani majimboni kwao kwa kisingizio kwamba inagongana na ile ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemwibua Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Lema ashusha tuhuma polisi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelilalamikia Jeshi la Polisi wilayani Arusha kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa waledi hali inayosababisha wanachama wao kupigwa na kujeruhiwa na wafuasi wa Chama...
10 years ago
Mtanzania31 Jan
Lema amshambulia Polisi Chagonja
Na Maregesi Paul, Dodoma
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), jana alimshambulia kwa maneno makali Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, kuwa anaweza kuwa anashirikiana na majambazi wanaovamia vituo vya polisi na kupora silaha.
Lema alitoa maneno hayo makali ya kumshambulia Chagonja bungeni jana, wakati akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali Kuu (PAC) na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
Akichangia hoja...
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge Lema ajisalimisha Polisi
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Polisi yamsaka Lema kwa vurugu
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Kigwangalla akamatwa na Polisi
JESHI la Polisi wilayani Nzega, mkoani Tabora limemkamata na kumuachia kwa masharti Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangallah, kwa madai ya kuongoza maandamano ya wachimbaji wadogo wa dhahabu ambao wanapinga...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LAMPA ONYO MBUNGE GODBLES LEMA.
Na.Vero Ignatus ,Arusha
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limesema limepokea maelekezo ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ya kuhakikisha wachochozi wote pamoja na wanaochafua taswira nzuri ya nchi ya Tanzania wanakamatwa
Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa wamelipokea agizo hio na kulitekeleza kwa asilimia 100 na watawasaka popote walipo bila kujali nafasi zao walizonazo.
Alisema nimeona...