Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Kilimanjaro yamsaka Papaa

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro, limeungana na Idara ya Uhamiaji kumsaka mfanyabiashara Emmanuel Kisima maarufu kwa jina la ‘Papaa’ anayetuhumiwa kuwa kinara wa mtandao wa kusafirisha wahamiaji haramu. Mfanyabiashara huyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Polisi mkoani Kilimanjaro yamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya Kinyama aliyefahamika kwa jina moja la Edward baada ya kuwaua  kwa kuwakata mapanga na shoka  watoto wake wawili pamoja na mke wake Janeth Lazaro katika Kijiji cha Koboko Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Fulgence Ngonyani amesema  mtuhumiwa amefanya unyama huo majira ya saa nane usiku  na kutokomea kusikojulikana .

Majina ya Watoto waliouawa ni Glory Edward , Caren Edward...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yamsaka Lema kwa vurugu

>Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa walijeruhiwa.

 

5 years ago

CCM Blog

POLISI MBEYA YAMSAKA MWAKIFUNA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linafanya msako mkali kumtafuta HAKIMU JAMES MWAKIFUNA miaka [20] Mnyakusa wa Kiwira kwa kosa la Mauaji ya makusudi ya bibi JUNE SANKANYE miaka [65] wa kijiji cha Nkunga Kata ya Nkunga  {T} Ukukwe.
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe.  Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja.  Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.   
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz akimvisha medali asakari Dominick Mafuru mmoja wa washindi wa mashindano ya mchezo wa Karate yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi,Kabelwa Ferdinando(katikati) na Wembo Ailala. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”

IMG-20150506-WA0008

Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.

 

11 years ago

Mwananchi

Nahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar

 Wakati watu saba wakiwa bado hawajaonekana baada ya boti ya Kilimanjaro II, kupata ajali na abiria kuzama baharini, nahodha wa chombo hicho alitoa taarifa za uongo kuhusu ajali hiyo imefahamika.

 

11 years ago

Michuzi

MEGATRADE INVESTIMENT LTD YAIBEBA POLISI KILIMANJARO

Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi.Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi...

 

9 years ago

StarTV

Polisi  Kilimanjaro waagizwa kumkamata Meneja wa TCCCO.LTD upotevu wa kahawa

 

Serikali imeliagiza Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro Kumkamata mara moja na kumfikisha Mahakamaini Meneja wa Kiwanda cha Kukoboa kahawa cha Tanganyika Coffee Curing Company LTD cha mjini Moshi Andrew Kleruu kwa tuhuma za kuhusika na upotevu  wa magunia 36 yenye uzito wa kilogramu 1764 za kahawa kutoka kwa  wanaushirika  wa chama cha G32 kilichopo mkoani humo.

Agizo la mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla likielekezwa kukamatwa kwa Meneja wa Kiwanda cha kukoboa Kahawa cha Tanganyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Askari polisi wastaafu Kilimanjaro wasotea malipo miaka mitano

Polisi waliostaafu kazi mwaka 2009 na kurejeshwa kazini kwa mkataba wa miaka miwili mkoani Kilimanjaro, wanasotea fedha za kusafirisha mizigo kurudi makwao kwa mwaka wa tano sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani