Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar

 Wakati watu saba wakiwa bado hawajaonekana baada ya boti ya Kilimanjaro II, kupata ajali na abiria kuzama baharini, nahodha wa chombo hicho alitoa taarifa za uongo kuhusu ajali hiyo imefahamika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa ahojiwa kwa saa sita Polisi

Aziza Masoud na Asifiwe George, Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana lilimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibrod Slaa, kwa zaidi ya saa sita kuhusiana na tuhuma za mauaji dhidi yake.
Hilo limetokea siku moja baada ya mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Khalid Kagenzi, kueleza jinsi alivyoteswa na walinzi wa Chadema na hata kumuhusisha na tishio la mauaji ya kiongozi huyo.
Dk.Slaa alihojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es...

 

9 years ago

Vijimambo

Kigogo wa Chadema ahojiwa polisi saa tano.

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu.
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemshikilia na kumhoji kwa zaidi ya saa tano mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu (pichani), kwa madai ya kumtisha kwa bastola Katibu wa chama hicho mkoani hapa, Basil Lema.

Hata hivyo, baada ya kuhojiwa jeshi hilo lilimwachia huru Komu na kisha kulifuta jalada la...

 

10 years ago

Vijimambo

Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.

Dk. Willibrod Slaa na mke wake Josephine Mushumbusi.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.

Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...

 

10 years ago

Mwananchi

Nahodha afunguka Zanzibar

 Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), ikitimiza miaka minne, Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha amesema ipo haja ya kuendelea kuwa na umoja huo kwa vile sababu zilizofanya kuundwa kwa Serikali shirikishi ya vyama vya CCM na CUF bado zipo.

 

10 years ago

Mwananchi

Muuguzi anayedaiwa kutekwa wiki iliyopita apatikana, ahojiwa na polisi

Dar es Salaam. Muuguzi wa Hospitali ya Mwananyamala, Pili Amiri aliyetekwa Machi 12, amepatikana usiku wa kuamkia jana baada ya watekaji hao kudaiwa kumtupa katika pori moja lililoko Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz akimvisha medali asakari Dominick Mafuru mmoja wa washindi wa mashindano ya mchezo wa Karate yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi,Kabelwa Ferdinando(katikati) na Wembo Ailala. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na...

 

5 years ago

CCM Blog

SHAMSHI VUAI NAHODHA ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CCM

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe agombee urais Zanzibar wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani