MEGATRADE INVESTIMENT LTD YAIBEBA POLISI KILIMANJARO
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi.
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMEGATRADE INVESTIMENT LTD YAVIPIGA JEKI VILABU VYA DARAJA LA NNE WILAYA YA HAI
11 years ago
MichuziMEGATRADE YAVIPIGA JEKI VILABU VYA POLISI KILIMANJARO NA MACHAVA FC VYA MJINI MOSHI
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Kilimanjaro Stars yaibeba Ethiopia
11 years ago
MichuziKAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Polisi Kilimanjaro yamsaka Papaa
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro, limeungana na Idara ya Uhamiaji kumsaka mfanyabiashara Emmanuel Kisima maarufu kwa jina la ‘Papaa’ anayetuhumiwa kuwa kinara wa mtandao wa kusafirisha wahamiaji haramu. Mfanyabiashara huyo...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”
Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Nahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar
9 years ago
StarTV17 Nov
Polisi mkoani Kilimanjaro yamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya Kinyama aliyefahamika kwa jina moja la Edward baada ya kuwaua kwa kuwakata mapanga na shoka watoto wake wawili pamoja na mke wake Janeth Lazaro katika Kijiji cha Koboko Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Fulgence Ngonyani amesema mtuhumiwa amefanya unyama huo majira ya saa nane usiku na kutokomea kusikojulikana .
Majina ya Watoto waliouawa ni Glory Edward , Caren Edward...
11 years ago
Mwananchi16 Jul
NSSF yaibeba Yanga