Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF yaibeba Yanga

Wachezaji wa Yanga wameipiga bao Simba baada ya kupata dili la nyumba kutoka Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Yanga yaibeba Azam CAF

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MABINGWA wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga jana waliibeba Azam na kuwawezesha kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Barani Afrika mwakani, baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Matokeo hayo yaliwafanya Yanga wakabidhiwe kombe la ubingwa huku wakiwa na machungu ya kufungwa na Azam, walioshindwa kutetea taji lao walilotwaa msimu uliopita.
Ushindi huo pia umetibua ndoto na hesabu za...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yakutana na wachezaji wa timu ya Yanga jijini Dar leo

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa uendeshaji NSSF, Crescentius Magori amewaambia wachezaji hao kuwa "kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari" huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha...

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake  na  Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa  uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

NSSF CUP Jambo Leo wakimbia uwanja, Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF

Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.

Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.

Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana  mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya.

Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF MEDIA CUP: Jambo Leo watia mpira kwapani Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF

Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69. Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana  mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya. Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69...

 

11 years ago

Mwananchi

ITF yaibeba tenisi ya Tanzania

Shirikisho la Tenisi la Kimataifa (ITF) limetoa nafasi moja ya upendeleo kwa mchezaji wa Tanzania kushiriki kwenye mashindano ya Tenisi ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 18 yaliyopangwa kufanyika mapema Machi katika nchi mbili tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

Uganda yaibeba Afrika Mashariki

Tayari jumla ya timu 20 za Afrika ambazo zimetinga raundi ya tatu ambayo ni hatua ya mwisho ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Russia mwaka 2018.

 

9 years ago

Mwananchi

Kilimanjaro Stars yaibeba Ethiopia

Waswahili husema, bahati haizuiliwi. Ethiopia imeambulia sare kwa bao la kujifunga la beki wa Kilimanjaro Stars, Salim Mbonde, dakika ya 90, ambalo lilitosha kuivushja timu hiyo kama mshindwa bora namba mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

JKT Mbweni yaibeba Tanzania

Wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki, JKT Mbweni sasa wataivaa Prisons ya Uganda katika nusu fainali itakayofanyika kesho kwenye Uwanja wa Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani