MSIBA: HERBERT ANDREW MAGATALA MASANJA AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Xim73KoJYBs/VlgEHgmwxhI/AAAAAAAIIjc/a_Q3E0Yrfrk/s72-c/e5e0591f-244e-4b58-95da-20c213e86012.jpg)
Ndugu Norbert Abel Masanja anasikitika tutangaza kifo cha kaka yake Herbert Andrew Magatala Masanja (pichani) kilichitokea Jana katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo jijiji Dar es salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika katika Makaburi ya Mbweni baada ya Misa ya itayofanyika katika kanisa la KKKT Usharika wa Boko kesho Jumamosi Novemba 28, 2015 kuanzia saa nane mchana. Msiba upo Boko njia ya kuelekea Ndege Beach. Kwa mawasiliano zaidi piga 0767406661 na 0788 406661
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
11 years ago
GPLMSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a enzi za uhai wake . Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-Flok1D8F63cRDmkjGdDU0rP7OXY9RxCTgfNdMy7ToOesHle07WA4TttdqFRmaqPacJspWs7EAVw9Q3ObdJEEA9Vl0/beakingnews.gif)
MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!
Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMZkuh*nJrs4jL7a9TgQWoSIoHR8ZkYGqU1Nr0P9kR6avK0ZThY7oFCLohKYt8ekKH24ZCS2c8QxmgsYicj3rOM0/benKiko.jpg?width=650)
MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
Ben Kiko enzi za uhai wake. ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0oA2-k-5x*29un6EHy128i5HBiVBGhTJqBFs8NbbzZrPaJxjkjzM4MGNgEolqppVoxbl7MRe7IYNS5lPCibfpyI/maxi.jpg)
MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!
Maximilian Ngube 'Max', enzi za uhai wake. Max (kushoto), akiwa katika moja ya kazi zake enzi za uhai wake. Kulia ni mwanahabari mwenzake. Mpiga picha mkongwe wa Televisheni, Maximilian Ngube 'Max' amefariki dunia leo, Ijumaa Mei 23, 2014, jijijini Dar es salaam. Habari zilizothibitishwa na ndugu wa karibu wa marehemu zimesema kuwa msiba uko nyumbani kwa marehemu Boko, jijini Dar na mipango ya mazishi inafanyika ambapo tarehe...
10 years ago
Michuzi25 Oct
tangazo la msiba: Dkt Kansolele Ntevi afariki dunia
![IMG-20141025-WA0035](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG-20141025-WA0035.jpg)
Familia ya Ntevi inapenda kutangaza kifo cha Mpendwa wao Dkt Kansolele Ntevi kilichotokea ghafla tarehe 22/10/2014 jijini Dar es salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote popote pale walipo. Mazishi yanatarajiwa kufanyika jumatatu Tarehe 27/10 / 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Kutakuwa na ibada ya kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Dr. Kansolele Ntevi nyumbani kwake maeneo ya Kunduchi baada ya chuo cha jeshi njiapanda ya Madini, barabara...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEVL74U4Y-rRPN9uLiFwUHj0Em8UwkVdUrD1Yoxk0Aw4lvLzqBmkhvJXluN-YRCrBZmTAsxUfmojpISP*TK82eDV/breaking.gif)
MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!
Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014. Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi…
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ztt_d07VuYA/VOXAKB5y58I/AAAAAAAHEfs/ynVPyIInzGI/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
TAARIFA YA MSIBA: MKE WA PROF MLEKWA WA UDSM AFARIKI DUNIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ztt_d07VuYA/VOXAKB5y58I/AAAAAAAHEfs/ynVPyIInzGI/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
Inasikitika kutangaza kifo cha mama yao Febronia Mshomba Mlekwa kilichotokea tarehe 16/02/2015 Katika Hospitali ya Kairuki, Dar Es Salaam. Mazishi yatafanyika tarehe19/02/2015 Alhamisi, Goba Dar Es Salaam.
Wale wote watakao kuungana penda na wafiwa, wanakaribishwa nyumbani kwa Mrehemu Savery mapema. Wote tunawatakia pole ya msiba.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s72-c/mama+halima.jpg)
TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s1600/mama+halima.jpg)
Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania