Timu ya DCI yapata ushahidi mzito
Kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), kimekamilisha kazi ya kuchunguza mauaji ya James Massawe, anayedaiwa kuuawa na matajiri wanne wa Jijini Mwanza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
DCI Mgulu kuongoza timu ya makachero
NA MOHAMMED ISSA
SAKATA la wizi wa mabilioni ya fedha za wakulima wa tumbaku, limechukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mgulu, kuwasili mkoani Tabora kwa ajili ya uchunguzi wa ufisadi huo.
DCI Mgulu amewasili mkoani humo, ikiwa ni siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete, kumuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu, kutuma timu ya makachero kuwahoji vigogo wa vyama vya ushirika waliofanya ufisadi dhidi ya fedha za wakulima.
Ubadhirifu wa...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
DCI atuma timu ya wapelelezi sakata la mauaji Kilimanjaro
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zEPteeozpoo/U5ib1O3LSqI/AAAAAAAFp04/hUqnEU8WYmo/s72-c/download+(3).jpg)
DCI MNGULU KUONGOZA TIMU YA WAPELELEZI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WIZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI TABORA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zEPteeozpoo/U5ib1O3LSqI/AAAAAAAFp04/hUqnEU8WYmo/s1600/download+(3).jpg)
IGP Mangu amemteua Kamishna wa Polisi Issaya Mngulu (pichani) ambaye ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai hapa nchini kuongoza timu. Timu hiyo ya upelelezi kutoka makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam tayari...
11 years ago
MichuziTIMU YA MBEYA CITY FC YAPATA MDHAMINI RASMI AMBAO NI BINSLUM TYRE COMPANY LIMITED
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3yxJUEbx6U/VdmZnmQQGuI/AAAAAAABm1I/-CU5iUl2nIw/s640/13dc4207e53088253da60d7926d652d7.jpg)
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
DCI MNGULU ASTAAFU
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
DCI amkwepa Kibanda
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Isaya Mungulu, amekwepa kuzungumzia sakata la kutekwa, kuteswa, kutobolewa jicho na kukatwa kidole kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini, Absalom...
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Mwandosya amuaga DCI Mwaitenda
Na Ibrahim Yassin, Kyela
ALIYEKUWA Waziri katika ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Profesa Mark Mwandosya ameongoza mamia ya wananchi wa Wilaya ya Kyela, wakati wa ibada ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Athur Mwaitenda (79) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi kwa ugonjwa wa kansa ya tezi dume.
Profesa Mwandosya aliitaka jamii nchini kuzisaidia familia za wafiwa pindi wazazi au walezi wao wanapofariki ili kujenga misingi ya upendo unaompendeza...
10 years ago
Mtanzania13 May
Diwani Athuman DCI mpya
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI),.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, kabla ya uteuzi huo, Diwani alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai.
“CP Diwani anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Robert Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria,” inasema taarifa hiyo.
Akizungumzia uteuzi huo, Diwani, alisema matarajio yake ni kuona...