Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAZI IPO!!! MASTAA WANAOONGOZA KUTUKANA\KUTUKANWA MTANDAONI

Imekuwa ikielezwa kuwa wasanii ni kioo cha jamii. Kwa maana hiyo wanatakiwa kufanya mambo ambayo yanaweza kuigwa na wale wanaowatazama. Hata hivyo, maisha wanayoishi baadhi ya wasanii hayaakisi msemo huo. Wengi wamekuwa wakikumbwa na skendo mbalimbali zinazowafanya wasiwe na vigezo vya kuitwa kioo cha jamii. Miongoni mwa mambo yanayowafanya wakati mwingine wadharaulike ni kutoa maneno machafu, ‘live’ au kupitia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa Wanaoongoza Kutukana\Kutukanwa Mtandaoni

Imekuwa ikielezwa kuwa wasanii ni kioo cha jamii. Kwa maana hiyo wanatakiwa kufanya mambo ambayo yanaweza kuigwa na wale wanaowatazama. Hata hivyo, maisha wanayoishi baadhi ya wasanii hayaakisi msemo huo.

Wengi wamekuwa wakikumbwa na skendo mbalimbali zinazowafanya wasiwe na vigezo vya kuitwa kioo cha jamii.

Miongoni mwa mambo yanayowafanya wakati mwingine wadharaulike ni kutoa maneno machafu, ‘live’ au kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Katika makala haya nitawazungumzia mastaa...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANAOONGOZA KWA SKENDO ZA NGONO

Mwandishi wetu
Mastaa mbalimbali wa Bongo wamekuwa wakiandamwa na skendo huku baadhi wakiona ndiyo njia ya kujing’arisha kisanii.Skendo zao zimekuwa za aina mbalimbali lakini wengi wamekuwa wakiandamwa na skendo za ngono.Katika makala haya utaipata Top 10 ya mastaa wa kike waliondamwa na skendo za ngono. Baadhi wamekumbwa na skendo za kunaswa kwenye mitego ya kujiuza na wengine wakiingia kwenye listi hii kutokana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Simba kazi ipo

Dar es Salaam. Kama ni ngoma, basi bado ni mbichi kwa Azam na Simba katika harakati zao za kuwania mshindi wa pili msimu huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Urais CCM kazi ipo

M????????Na Waandishi Wetu

Membe: Hakuna anayenizidi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi nia ya kuwania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia CCM, huku akiahidi kupambana na ufisadi na rushwa kwa kuhakikisha sheria ya makosa ya rushwa inabadilishwa.
Akizungumza mjini Lindi jana, alisema ili nchi iweze kupiga hatua, akifanikiwa kuwa rais wa awamu ya tano, atabadili sheria ya kupambana na rushwa inayosema ‘mpokeaji na mtoaji wote wana...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM, Ukawa kazi ipo

mtanzaniadaily.inddNa Ramadhan Hassan, Dodoma

MATOKEO ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji yaliyotangazwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, yameonyesha vyama vya upinzani vinazidi kuibana CCM katika maeneo ya mjini.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana, wapinzani wamepata asilimia 33 mijini na 19 vijijini.
Wakati hali ikiwa hivyo, CCM yenyewe imezidi kujiimarisha zaidi katika maeneo ya vijijini ambako imeibuka na ushindi wa asilimia 80.58.
Ushindi huo wa CCM, umekuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kagasheki: CCM kazi ipo mwaka huu

Hofu kuhusu nafasi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao inazidi kuongezeka baada ya mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kukitabiria chama hicho tawala “kazi kubwa”, akisema hali ya sasa “siyo ile iliyokuwa nayo miaka mitano iliyopita”.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba, JKT Ruvu kazi ipo Taifa

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba leo itakuwa na shughuli pevu ya kusaka ushindi itakapovaana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni.

Simba itaingia dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City kwenye mchezo uliopita uliofanyika Jumatano iliyopita, JKT Ruvu wao waliambulia sare ya bao 1-1 walipovaana na Mtibwa Sugar.

Kipigo dhidi ya Mbeya City kilipelekea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hongereni wabunge, hongera rais lakini kazi bado ipo

HONGERENI sana wabunge. Hongera pia Rais Jakaya Kikwete kwa kuwafukuza kazi mawaziri wanne. Nilijisikia faraja kuona wabunge wa upinzani na chama tawala wakiwa wamoja katika hilo. Hongera Amiri Jeshi Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA TANZANIA WAPATA PA KUUZIA KAZI ZAO MTANDAONI

Baada ya kuhaha kwa muda mrefu kutafuta jinsi ya kuuza kazi zao, mkombozi wa swala la kuibiwa jasho lao amekuja kwa njia ya MKITO, mtandao ambao unauza kazi za wasanii mtandaoni kirahisi kabisa. 
KWA WASANII Tafadhali wasiliana na Mkito kwa simu namba +255 767 769 921 au kwa barua pepe support@mkito.com kwa mawasiliano zaidi.
Angalia banner hapo juu ya BLOG kama hiyo pichani na BOFYA uende kwenye mtandao huo moja kwa moja. La, kama vipi acha tukusaidie - BOFYA HAPA 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani