CCM, Ukawa kazi ipo
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
MATOKEO ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji yaliyotangazwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, yameonyesha vyama vya upinzani vinazidi kuibana CCM katika maeneo ya mjini.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana, wapinzani wamepata asilimia 33 mijini na 19 vijijini.
Wakati hali ikiwa hivyo, CCM yenyewe imezidi kujiimarisha zaidi katika maeneo ya vijijini ambako imeibuka na ushindi wa asilimia 80.58.
Ushindi huo wa CCM, umekuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Kazi ipo CCM, Ukawa majimbo ya Chaani,Kijini, Mkwajuni, Nungwi na Tumbatu
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Urais CCM kazi ipo
Na Waandishi Wetu
Membe: Hakuna anayenizidi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi nia ya kuwania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia CCM, huku akiahidi kupambana na ufisadi na rushwa kwa kuhakikisha sheria ya makosa ya rushwa inabadilishwa.
Akizungumza mjini Lindi jana, alisema ili nchi iweze kupiga hatua, akifanikiwa kuwa rais wa awamu ya tano, atabadili sheria ya kupambana na rushwa inayosema ‘mpokeaji na mtoaji wote wana...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kagasheki: CCM kazi ipo mwaka huu
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Ipo hofu ya Ukawa kupoteza majimbo
10 years ago
Mtanzania16 Apr
ACT ipo tayari kushirikiana na Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Singida
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), kimesema kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa kwa lengo la kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kubomoa mfumo unaowanyonya wananchi
Kutokana na hali hiyo, kimewahakikishia Watanzania kuwa ujio wa chama hicho ni wa kuleta mageuzi ya kweli kwa taifa badala ya porojo kama vyama vingine vinavyofanya.
Akihutubia wananchi jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya...
10 years ago
Mwananchi26 Apr
Azam, Simba kazi ipo
10 years ago
Mtanzania31 Jan
Simba, JKT Ruvu kazi ipo Taifa
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba leo itakuwa na shughuli pevu ya kusaka ushindi itakapovaana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni.
Simba itaingia dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City kwenye mchezo uliopita uliofanyika Jumatano iliyopita, JKT Ruvu wao waliambulia sare ya bao 1-1 walipovaana na Mtibwa Sugar.
Kipigo dhidi ya Mbeya City kilipelekea...
10 years ago
GPL
KAZI IPO!!! MASTAA WANAOONGOZA KUTUKANA\KUTUKANWA MTANDAONI
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Hongereni wabunge, hongera rais lakini kazi bado ipo
HONGERENI sana wabunge. Hongera pia Rais Jakaya Kikwete kwa kuwafukuza kazi mawaziri wanne. Nilijisikia faraja kuona wabunge wa upinzani na chama tawala wakiwa wamoja katika hilo. Hongera Amiri Jeshi Mkuu...