Mdau: Hawa Ndio Wanawake wa 5 Wanaoongoza kwa Uzuri Bongo Movie
Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.ELIZABETH MICHAEL (LULU) ,5.IRENE UWOYA. Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
By Iron Finger on JF
Na wewe kama mdau una nafasi ya kutuandikia chochote kinachohusu Bongo Movies na sisi tutakileta...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Hawa Ndio Mastaa wa Bongo Movies Wanaoutamani Ubunge Mwaka Huu
Uchaguzi mkuu wa kupata Rais, Wabunge na Madiwani upo jirani. Utafanyika mwaka huu na tayari mpaka sasa watu wenye nia ya kuwania nafasi hizo wamesikika au kutajwa kujiweka mguu sawa kabla ya filimbi kupulizwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec).
Baadhi ya waigizaji wa filamu nao hawajalaza damu, wametangaza nia yao ya kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, macho yao yakielekezwa kwenye Ubunge.
Dude, Tabora Mjini
Ni msanii wa maigizo anayegombea ubunge katika jimbo la Tabora Mjini. Dude...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.
“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.
9 years ago
MillardAyo03 Jan
TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio …
Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kuthibitisha kuwa yuko mbioni kuondoka TP Mazembe na kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, stori za January 2 ni kuwa klabu ya TP Mazembe imeita nyota wawali wa bongo kwenda kufanya majaribio. […]
The post TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Dewji Blog19 Aug
11 years ago
Michuzi26 Jul
MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE