NJIA PANDA, WANAHUBIRI SANA AMANI NA UTULIVU LAKINI...
![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH*BpxIw-YSFZolJgJ0WprlwznZuyGY-X0MB2O2DqlOGmZUAZ0G2Z6UNBXJouG3-KehIUICb5I7iYOllwIcigClZ/7921084_orig.jpg?width=650)
Polisi wakizuia maandamano. MAKALA: NA WALUSANGA NDAKI UKIMSIKIA mtu anawasihi sana wananchi wenzake wadumishe amani na u tulivu, fahamu moja kwa moja kwamba mtu huyo ni mwanasiasa, hususan miongoni mwa wale walioko madarakani.  Vilevile, ukimsikia mtu anahubiri sana majukwaani na kila mkusanyiko akiwataka raia wenzake wapiganie amani na utulivu, mtu huyo lazima atakuwa ni tajiri au mtu mwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Nchi njia panda
Fredy Azzah na Elias Msuya
NCHI inapita katika kipindi kigumu kwa sasa kulingana na matukio mbalimbali yanayotokea wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na hali hiyo, lugha yenyepesi inayoweza kutumika katika kufafanua ni kusema kwamba, nchi ipo njia panda.
Baadhi ya mambo hayo ni yale yaliyotokea na kuigusa nchi kama taifa, huku mengine yakigusa maisha ya wananchi moja kwa moja.
Katiba mpya
Moja ya mambo yanayoumiza vichwa vya Watanzania ni kuhusu...
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
CCM njia panda
IKIWA imesalia wiki moja kabla ya watangaza nia wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamilisha mchakato
Mwandishi Wetu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-*PCcgjQM4o7ngeSsxEYX9u4QDIAEiqaCFarBdfZ7EDBjOPafYShaAZZu-3YsGTTX9m9l57D*20jSt6ZPacAeXm/1528535_698759480156926_571395509_n.jpg?width=650)
ZITTO NJIA PANDA
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
TANESCO njia panda
WAKATI Watanzania wakiendelea kutaabika kwa bei mpya za umeme, hali ya kiutendaji ya Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO) iko njia panda kutokana na msuguano uliopo kati ya Wizara ya...
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Lipumba njia panda CUF
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Bajeti yaiweka CCM njia panda
WAKATI kesho wabunge wakianza kuijadili kwa siku saba Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 inayofikia sh trilioni 19.8, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa...
10 years ago
Habarileo11 Mar
Ubunge wa Zitto sasa njia panda
HATIMA ya ubunge wa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa iko njia panda.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NIRIKy1O8G084T-acCbh5rgtS*wVPhl5ixHsYDk6IZO4HtqYR-*08jthIM0Zq2t9H2uQ4jtvr6vohJhec0HuXD/riyama.jpg?width=650)
RIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI