Nchi njia panda
Fredy Azzah na Elias Msuya
NCHI inapita katika kipindi kigumu kwa sasa kulingana na matukio mbalimbali yanayotokea wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na hali hiyo, lugha yenyepesi inayoweza kutumika katika kufafanua ni kusema kwamba, nchi ipo njia panda.
Baadhi ya mambo hayo ni yale yaliyotokea na kuigusa nchi kama taifa, huku mengine yakigusa maisha ya wananchi moja kwa moja.
Katiba mpya
Moja ya mambo yanayoumiza vichwa vya Watanzania ni kuhusu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-*PCcgjQM4o7ngeSsxEYX9u4QDIAEiqaCFarBdfZ7EDBjOPafYShaAZZu-3YsGTTX9m9l57D*20jSt6ZPacAeXm/1528535_698759480156926_571395509_n.jpg?width=650)
ZITTO NJIA PANDA
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
TANESCO njia panda
WAKATI Watanzania wakiendelea kutaabika kwa bei mpya za umeme, hali ya kiutendaji ya Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO) iko njia panda kutokana na msuguano uliopo kati ya Wizara ya...
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
CCM njia panda
IKIWA imesalia wiki moja kabla ya watangaza nia wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamilisha mchakato
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Lipumba njia panda CUF
10 years ago
Habarileo11 Mar
Ubunge wa Zitto sasa njia panda
HATIMA ya ubunge wa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa iko njia panda.
10 years ago
Habarileo27 Jun
Serikali ya umoja Z’bar njia panda
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema kitendo cha wajumbe wa CUF kususa shughuli za Baraza la Wawakilishi, kimeiweka njia panda hatma ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa, kwa kuwa ni kinyume na makubaliano ya muundo huo.
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Kombe la Dunia 2022 njia panda
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Bajeti yaiweka CCM njia panda
WAKATI kesho wabunge wakianza kuijadili kwa siku saba Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 inayofikia sh trilioni 19.8, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4VL9NQuD5xou-I0kMdv3gCpupIO91qnTu8Bd9oV030Z9dIcIEtqt92ZjcUZrsI3IJJDskYLuTxIzND6llJudlP1/lowassa.gif?width=650)
LOWASSA AWAWEKA UKAWA NJIA PANDA!