MOI: Hatuwakati miguu majeruhi
Kwa muda mrefu sasa, umekuwepo uvumi kwamba Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili(MOI), imekuwa ikiwakata viungo majeruhi wa ajali za bodaboda hasa madereva kama njia ya kuwakomesha.
Tuhuma hizo ambazo zimekanushwa vikali na taasisi hiyo, zilidai kuwa kutokana na majeruhi wa pikipiki kuongezeka, madaktari huamua kuwakata viungo kama miguu.
Matokeo yake, ikadaiwa kuwa baadhi ya ndugu na jamaa wa majeruhi hao huamua kuwapeleka majeruhi katika hospitali binafsi.
Hata hivyo, taasisi hiyo ilisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Oct
MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maziko ya Daniel arap Moi: Maelfu ya raia wamiminika Kabarak kumuaga rais mstaafu Daniel Moi
11 years ago
TheCitizen27 May
MOI set for new system
10 years ago
Mtanzania07 Sep
Mkapa amzungumzia Moi
![Benjamin Mkapa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Benjamin-Mkapa.jpg)
Benjamin Mkapa
NA BENJAMIN MKAPA
NINAFURAHI na kushukuru kwa kupata fursa hii ya kutoa salamu na pongezi zangu za dhati kwa Rais mstaafu Daniel Toroitich arap Moi wakati akitimiza umri wa miaka 90. Hakika Moi ni nembo, mtu mashuhuri na kizazi adimu cha viongozi wa Afrika.
Kwa karibu miaka minane, tulifanya kazi kwa karibu na kwa amani kama viongozi wa nchi zetu; Kenya na Tanzania, na katika muktadha wa Ukanda wa Maziwa Makuu, kukuza maendeleo na kuimarisha amani na utulivu.
Tangu mwanzo...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Daktari feki anaswa MOI
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...
10 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Mabingwa wa upasuaji watua MOI
MADAKTARI bingwa wanne kutoka Misri wamewasili nchini juzi kwa ajili kubadilishana uzoefu, ujuzi, kupanua wigo na kukuza uhusiano katika kitengo cha Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) ikiwa ni kampeini...
10 years ago
GPLMOI TUNAWEZA KWA ZAIDI YA 95%
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Majeruhi waitesa Yanga
NA OSCAR ASSENGA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo itakuwa ugenini katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kukabiliana na wenyeji, Mgambo Shooting huku ikiwa na wachezaji majeruhi wanaowategemea.
Wachezaji ambao huenda wakakosekana katika mechi hiyo ni Donald Ngoma na Haruna Niyonzima.
Akizungumza jana mjini hapa, Meneja wa timu hiyo, Hafidhi Salehe, alisema kuwa Ngoma atashindwa kucheza mechi hiyo kutokana na kusumbuliwa na majeruhi aliyopata hivi karibuni wakati wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOaUJ7iOWFwbZcJwO8wouXYIpfyowIZUHZl8CaNk3Hn6aaoI-AnadJTblJxlYF9gqOjdPWEEvRCkHBlHBH*Cfmn8/domayo.gif?width=650)
Majanga Domayo majeruhi!