Majanga Domayo majeruhi!
![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOaUJ7iOWFwbZcJwO8wouXYIpfyowIZUHZl8CaNk3Hn6aaoI-AnadJTblJxlYF9gqOjdPWEEvRCkHBlHBH*Cfmn8/domayo.gif?width=650)
Frank Domayo amesajiliwa rasmi na Azam FC akitokea Yanga. Na Sweetbert Lukonge SIKU chache baada ya kujulikana kuwa Frank Domayo amesajiliwa rasmi na Azam FC akitokea Yanga, imebainika kuwa kiungo huyo mkabaji ni majeruhi na kama akitoneshwa anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Domayo ambaye kwa sasa yupo na Taifa Stars jijini Mbeya, amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya paja kwa muda mrefu na ikitokea akatoneshwa au...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 May
Baba wa Domayo afunguka
11 years ago
TheCitizen02 May
TFF to probe Domayo registration
11 years ago
Mwananchi02 May
TFF yachunguza usajili wa Domayo
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Uchunguzi usajili wa Domayo bado
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema linaendelea kusubiri ripoti kutoka kwa Wakili Wilson Ogunde aliyepewa jukumu la kuchunguza usajili wa kiungo Frank Domayo ‘Chumvi’ na kwamba hawatakurupuka kutoa uamuzi. TFF...
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Usajili wa Domayo waivuruga TFF
SIKU moja baada ya uongozi wa Azam FC kunyaka saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Frank Domayo ‘Chumvi’ akiwa kambini Tukuyu, Mbeya, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal...
11 years ago
Mwananchi01 May
Azam yamng’oa Domayo Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yg-RG97nS*tXZmndo5KfgwiXwtxq3StkrVxuPNpZDPZMhkGOUPo1OyDkcciqo6DHV6oGu20T2W6OQE4k6xx607u/1.gif?width=650)
Mrithi wa Domayo ni huyu Mghana
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Domayo amshtua Omog Azam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSJSIYVxKBIWCjo0QFM8l2MSGaMPEPlTzuy2vC0XyQayaoPvTVfd9-8pXvWQ97e2L8sOGG7jrLWeTqt3g8-KVfg6/1.gif?width=650)
TFF yafuta usajili wa Domayo