Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba wa Domayo afunguka

>Raymond Domayo, baba mzazi wa kiungo mkabaji Frank Domayo, amesema fedha nono ndiyo zilizomshawishi mwanaye atimkie Azam FC, hivyo amewataka viongozi na mashabiki wa Yanga wasimchukie badala yake wamuunge mkono.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Majanga Domayo majeruhi!

Frank Domayo amesajiliwa rasmi na Azam FC akitokea Yanga. Na  Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya kujulikana kuwa Frank Domayo amesajiliwa rasmi na Azam FC akitokea Yanga, imebainika kuwa kiungo huyo mkabaji ni majeruhi na kama akitoneshwa anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Domayo ambaye kwa sasa yupo na Taifa Stars jijini Mbeya, amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya paja kwa muda mrefu na ikitokea akatoneshwa au...

 

10 years ago

GPL

Domayo naye anukia Yanga

Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BAADA ya kuelezwa kuwa straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu yupo mbioni kurejea kwenye kikosi cha Yanga, habari nyingine ni kuwa kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, naye anadaiwa kuwa kwenye njia ya kurejea kurudi katika klabu yake hiyo ya zamani. Domayo ambaye alijiunga na Azam mwanzoni wa msimu huu akitokea Yanga, inadaiwa kuwa amekuwa katika hali tata ya kutokuwa...

 

11 years ago

GPL

TFF yafuta usajili wa Domayo

Kiungo mkabaji, Frank Domayo alipokuwa akisaini mkataba na timu ya Azam FC. Mohammed Mdose na Said Ally
MAMBO yanazidi kuwa mambo kwenye usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara! Wakati Azam FC ikiwa imejihakikishia kumtumia kiungo mkabaji, Frank Domayo kuanzia msimu wa 2014-2015, tamko zito limetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya usajili huo. TFF imetoa tamko kuwa mpaka sasa bado haiutambua usajili wa kiungo huyo...

 

11 years ago

GPL

Mrithi wa Domayo ni huyu Mghana

Frank Domayo. Na  Martha Mboma
PAMOJA na kuondoka, kwenda nchini Saudi Arabia, Kocha Hans van Der Pluijm ameanza mazungumzo na kiungo, Joseph Tetteh Zutah wa Medeama SC ya Ghana kuziba pengo lililoachwa na Frank Domayo. Kabla ya kuchukua uamuzi wa kuondoka Yanga na kujiunga na Al Shoala ya Saudi Arabia tayari Pluijm alimpendekeza Zutta kuchukua nafasi ya Domayo ambaye alisisitiza amekuwa havutiwi na uchezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Domayo amshtua Omog Azam

Azam FC imepiga bao faida ya kuwajali wachezaji wao baada ya kupona kiungo wao mkabaji, Frank Domayo ambaye sasa amerudi kwa kasi ya ajabu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi usajili wa Domayo bado

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema linaendelea kusubiri ripoti kutoka kwa Wakili Wilson Ogunde aliyepewa jukumu la kuchunguza usajili wa kiungo Frank Domayo ‘Chumvi’ na kwamba hawatakurupuka kutoa uamuzi. TFF...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yachunguza usajili wa Domayo

>Shirikisho la Soka (TFF) limedai linachunguza kitendo cha klabu ya Azam FC kumsajili kiungo Frank Domayo wakati akiwa kwenye kambi ya timu ya taifa mjini Mbeya.

 

11 years ago

TheCitizen

TFF to probe Domayo registration

>Plans are on for the Tanzania Football Federation (TFF) to investigate Mainland champions Azam FC for allegedly breaching registration regulations for players on national duty.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usajili wa Domayo waivuruga TFF

SIKU moja baada ya uongozi wa Azam FC kunyaka saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Frank Domayo ‘Chumvi’ akiwa kambini Tukuyu, Mbeya, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani