Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabingwa wa upasuaji watua MOI

MADAKTARI bingwa wanne kutoka Misri wamewasili nchini juzi kwa ajili kubadilishana uzoefu, ujuzi, kupanua wigo na kukuza uhusiano katika kitengo cha Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) ikiwa ni kampeini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MOI yajiimarisha katika utoaji huduma muhimu za Tiba na Upasuaji

 Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Patrick Mvungi akieleza kwa vyombo vya habari(hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Taasisi hiyo ikiwemo kufanikiwa kwa zaidi ya asilimia 95 ya kutoa huduma muhimu za Tiba na Upasuaji kwa wagonjwa wanaopokelewa na hivyo kupunguza vifo na rufaa za kuwapeleka wagonjwa nje ya nchi,wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar ea Salaam. Kushoto ni Meneja Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo Bw....

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE NA HUDUMA ZA JAMII YATEMBELEA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA , UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU (MOI)

Picha ya pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (wa nne kulia) na  Kaimu  Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Dk,  Othman  Kiloloma (wa tatu kushoto) na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ya  wabunge.Waziri wa Afya Seif Rashid (kusho) akitia Saini katika Kitabu cha wageni mara kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii ilipo tembelea ...

 

5 years ago

Michuzi

MTAMBO WA KISASA WA KUVUNJA MAWE KWENYE MFUMO WA MKOJO BILA UPASUAJI WATUA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Charles James, Globu ya JamiiHOSPITALI ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma imezindua huduma ya kwanza ya kisiasa ya kuvunja mawe kwenye mfumo wa mkojo bila kufanya upasuaji.
Huduma hiyo imezinduliwa baada ya kuwasili kwa mtambo wa kisasa unaotumia mionzi katika kufanya huduma hiyo tofauti na awali ambapo wagonjwa walikua wakifanyiwa upasuaji.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma hiyo itafanyika kwa mara...

 

5 years ago

BBCSwahili

Maziko ya Daniel arap Moi: Maelfu ya raia wamiminika Kabarak kumuaga rais mstaafu Daniel Moi

Moi amezikwa kijijini kwake kaaribu na kaburi la marehemu mkewe Lena aliyeaga dunia mwaka 2004.

 

10 years ago

Mtanzania

Mkapa amzungumzia Moi

Benjamin Mkapa

Benjamin Mkapa

NA BENJAMIN MKAPA

NINAFURAHI na kushukuru kwa kupata fursa hii ya kutoa salamu na pongezi zangu za dhati kwa Rais mstaafu Daniel Toroitich arap Moi wakati akitimiza umri wa miaka 90. Hakika Moi ni nembo, mtu mashuhuri na kizazi adimu cha viongozi wa Afrika.

Kwa karibu miaka minane, tulifanya kazi kwa karibu na kwa amani kama viongozi wa nchi zetu; Kenya na Tanzania, na katika muktadha wa Ukanda wa Maziwa Makuu, kukuza maendeleo na kuimarisha amani na utulivu.

Tangu mwanzo...

 

11 years ago

TheCitizen

MOI set for new system

>The Muhimbili Orthopedic Institute (MOI) will soon introduce a non-incision treatment called CyberKnife surgery, a technology that operates without a cut. CyberKnife is the world’s first and only robotic radiosurgery system designed to noninvasively treat tumours throughout the body.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki anaswa MOI

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...

 

10 years ago

GPL

MOI TUNAWEZA KWA ZAIDI YA 95%

Meneja Ustawi na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba na Mifupa ‘’MOI’’ Jumaa Almas akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani). Sehemu ya bango la kituo cha MOI.…

 

10 years ago

Vijimambo

MOI: Hatuwakati miguu majeruhi


Kwa muda mrefu sasa, umekuwepo uvumi kwamba Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili(MOI), imekuwa ikiwakata viungo majeruhi wa ajali za bodaboda hasa madereva kama njia ya kuwakomesha.

Tuhuma hizo ambazo zimekanushwa vikali na taasisi hiyo, zilidai kuwa kutokana na majeruhi wa pikipiki kuongezeka, madaktari huamua kuwakata viungo kama miguu.

Matokeo yake, ikadaiwa kuwa baadhi ya ndugu na jamaa wa majeruhi hao huamua kuwapeleka majeruhi katika hospitali binafsi.
Hata hivyo, taasisi hiyo ilisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani