Majeruhi wa bodaboda wajaza wodi Muhimbili
Kuongezeka kwa majeruhi wa ajali za bodaboda kumeifanya Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), kuzidiwa na wagonjwa hadi kulazimika kuwalaza wengine sakafuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Majeruhi wa Simba wapelekwa Muhimbili
Majeruhi watano kati ya mashabiki 24 waliojeruhiwa katika ajali ya basi dogo la mashabiki wa klabu ya Simba SC Tawi la Mpira na Maendeleo (Simba Ukawa) watalazimika kuchunguzwa zaidi afya zao na madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuumia vibaya mkoani hapa.
10 years ago
Habarileo25 Oct
MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.
10 years ago
GPL10 years ago
Vijimambo17 Oct
MAJERUHI WA MOTO WA PETROLI MBAGALA WALIOLAZWA MUHIMBILI
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya moto wakiwa wodini.
MAJERUHI 9 kati ya 15 waliofikishwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuungua na moto uliosababishwa na kuungua kwa lori la mafuta huko Mbagala jijini Dar es Salaam Oktoba 15 mwaka huu, wanaendelea na matibabu huku hali zao zikiwa bado mbaya.
Kamera yetu ilifika katika hospitali hiyo na kuwakuta wagonjwa hao wakiwa wamelazwa katika wodi namba 23 iliyopo katika jengo la Sewahaji na Afisa Uhusiano msaidizi wa Muhimbili, Doris Ihenga...
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumamosi, Februari 22, 2014, aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar Es Salaam.
Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam, Rais Kikwete pia ameahidi kuendeleza kuongoza jitihada za kupatikana kwa kiasi cha sh milioni 328...
11 years ago
MichuziBENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE MAGONJWA YA SARATANI MUHIMBILI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi akimkabidhi hundi ya sh. milioni 2 Mkuu wa Idara ya Ustawi ya Jamii Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula kwa ajili ya wagonjwa wa saratani watoto waliolazwa katika hospitali hiyo. Kushoto ni Meneja Mahusiano Mwandamizi TPB, Noves Moses. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi (wa pili kushoto)...
9 years ago
MichuziPANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA
Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew Kangashaki (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea katika hospital ya Kinyonga na ukarabati wa wodi ya uzazi mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew Kangashaki(wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi...
10 years ago
Habarileo18 Mar
Wenye kesi za mauaji wajaza magereza
IMEELEZWA kuwa, zaidi ya asilimia 90 ya wafungwa na mahabusu katika magereza ya mkoa wa Iringa ni wa kesi za mauaji.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania