Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyenusurika ajali ya Mbeya asimulia

>Mmoja wa majeruhi wa ajali iliyoua watu 19, Mariam Manfredy (28) aliyevunjika mguu wa kushoto, anasimulia ajali hiyo na kusema chanzo ni mwendo kasi na kuungua kwa breki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Aliyenusurika kwenye tukio la kukanyagana asimulia

Kila mtu alikuwa anataka kukanyanga mafuta ya upako na kuondoka, muathirika wa tukio lililouwa watu 20 Kilimanjaro asimulia.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi

>Ni ukweli usiopingika kwamba siku ya kuzaliwa na kufa ya kila binadamu anaijua Mungu. Akaiamua kukuita kwake, huwezi kupinga kifo kwa namna yoyote.

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU! AJALI YA KONTENA MAFINGA

Na Mwandishi Wetu, Iringa
BADO Mji wa Mafinga wilayani Mufindi mkoani hapa haujakaa sawa kufuatia vifo vya watu 50 waliopoteza maisha kwa ajali ya kontena kudondokea Basi la Majinja lenye namba za usajili T 438 CED iliyotokea Machi 11, 2015, Uwazi limechimba. Mtoto aliyenusurika kwenye ajali. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Changarawe mjini Mafinga ambapo kontena hilo lilikuwa kwenye lori la mizigo la Scania lenye namba za...

 

11 years ago

Mwananchi

Majeruhi asimulia chanzo cha ajali

Majeruhi wa basi la Burudani lililouwa watu 12 na kujeruhi wengine 93 katika Kijiji cha Taula, Kwedizinga wilayani Handeni, Tanga, wamesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva kuendesha mwendo kasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Nassari asimulia ajali, Ndesamburo kununua chopa mpya

Wakati Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akisema anashindwa kuamini kilichotokea na kunusurika katika ajali ya helikopta juzi, mmiliki wa chopa hiyo, Philemon Ndesamburo amesema atanunua nyingine haraka kabla ya kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Vijimambo

Bwana harusi asimulia walivyonusa kifo ajali ya mtumbwi

Bwana harusi, Ramadhani Hamisi (30), aliyenusurika kifo baada ya mtumbwi kuzama katika Ziwa Tanganyika na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine 11 kujeruhiwa, ameibuka na kusimulia jinsi alivyochungulia kaburi.

Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum jana, Hamis alisema baada ya kuona mtumbwi ukizama, alimrukia mkewe na kumshika mkono na kisha kuanza kuogelea naye hadi nchi kavu na hivyo kunusurika kifo.

Kutokana na hali hiyo, anasema anamshukuru Mungu kwa yeye na mkewe, Mariamu (24),...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege ya Ethiopia: Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza asimulia alichoshuhudia

Ripoti ya awali iliyotolewa na mamlaka nchini Ethiopia imelaumu waundaji wa ndege ya Boeing 737 Max

 

11 years ago

GPL

AJALI YA MALORI MKOANI MBEYA

Wananchi wakiwa eneo la ajali baada ya malori kugongana huko Simike, Mbeya. AJALI hii imetokea maeneo ya Simike mkoani Mbeya ikiyahusisha malori mawili na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo. Kutokana na foleni hiyo, wananchi wengi waliamua kutembea kwa miguu huku waendesha bodaboda wakipata abiria wa kumwaga kutokana na barabara hiyo kutopitika kwa muda. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO AU...

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali mbaya yaua 10 Mbeya

Askari wa usalama barabarani na raia wakiangalia gari aina ya Toyota Hiace iliyopata ajali eneo la Mbalizi mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine kujeruhiwa. Picha na Pendo Fundisha

Askari wa usalama barabarani na raia wakiangalia gari aina ya Toyota Hiace iliyopata ajali eneo la Mbalizi mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine kujeruhiwa. Picha na Pendo Fundisha

Na Pendo Fundisha, Mbeya

WATU 10 wakiwemo watoto wadogo wawili, wamekufa papo hapo baada ya gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace  kulivaa lori aina ya Fuso katika eneo la Mbalizi mkoani Mbeya.

Katika ajali hiyo iliyotokea jana saa 4 asubuhi, watu saba walijeruhiwa miongoni mwao wakiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani