Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyenusurika kwenye tukio la kukanyagana asimulia

Kila mtu alikuwa anataka kukanyanga mafuta ya upako na kuondoka, muathirika wa tukio lililouwa watu 20 Kilimanjaro asimulia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aliyenusurika ajali ya Mbeya asimulia

>Mmoja wa majeruhi wa ajali iliyoua watu 19, Mariam Manfredy (28) aliyevunjika mguu wa kushoto, anasimulia ajali hiyo na kusema chanzo ni mwendo kasi na kuungua kwa breki.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi

>Ni ukweli usiopingika kwamba siku ya kuzaliwa na kufa ya kila binadamu anaijua Mungu. Akaiamua kukuita kwake, huwezi kupinga kifo kwa namna yoyote.

 

11 years ago

Mwananchi

Binti asimulia Watanzania wanavyotumikishwa kwenye madanguro China

>Wakati wanawake kwa wanaume wengi huenda barani Asia, hasa China kununua bidhaa kwa ajili ya kuja kuzichuuza, hali sasa ni tofauti kwa kuwa kuna wasichana ambao huenda huko kwa ahadi za ajira, lakini huishia kufanya ukahaba kwenye madanguro, gazeti hili linaweza kukuthibitishia.

 

9 years ago

Bongo5

Roma asimulia ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye ‘Mwanakondoo’

‘Mwanakondoo’ ni wimbo wa Roma uliotoka mwishoni mwa mwaka jana 2014, ambao aliwashirikisha Stamina, Maunda Zorro na Walter Chilambo. Kwa kawaida huwa kunakuwa na sababu zinazowakutanisha wasanii hadi kufikia hatua ya kukubaliana kufanya kazi, na Roma amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye wimbo huo. Kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Roma amesema kuwa beat […]

 

10 years ago

Bongo5

Ben Pol asimulia ‘aibu’ aliyoipata kwenye show yake ya kwanza kutumbuiza!

Kila msanii unayemfahamu ana show moja ama mbili alizowahi kuzifanya lakini zikawa mbaya kiasi ambacho hawezi kuisahau. Akiongea kwenye kipindi cha Kili Chat kinachorushwa kila Alhamis kupitia EATV, Ben Pol alisema show yake mbaya zaidi kuifanya ni ile ya kwanza kabisa kuwahi kufanya wakati huo akiwa na wimbo uliomtambulisha, ‘Nikikupata’. “Nafikiri pia sababu ya ugeni […]

 

10 years ago

Bongo5

Mwasiti asimulia mazingira magumu yaliyopo kwenye shule za vijijini ‘hali ni mbaya jamani’

Muimbaji wa ‘Serebuka’ Mwasiti amedai kuwa anasikitishwa mno na ukweli kuwa wanafunzi wengi wa shule za msingi nchini hawana madawati na bado wanakalia mawe. Mwasiti amesema hivi karibuni amekuwa akizunguka katika mikoa mbalimbali kutembelea shule katika majukumu yake ya kampeni za elimu. “Hali ni mbaya jamani,” amesema Mwasiti. Mwanafunzi anayesoma katika moja ya shule za […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Avril asimulia kwa mara ya kwanza jinsi alivyoanguka kwenye swimming pool wakati akitumbuiza Dar

Kwa mara ya kwanza muimbaji wa Kenya, Avril amelizungumzia tukio lililotokea miaka miwili iliyopita jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitumbuiza kwenye Pool Party iliyofanyika kwenye hoteli ya Regency Park, Mikocheni. Kwenye show hiyo ambayo rapper Prezzo pia alitumbuiza, Avril alijikuta akitumbukia kwenye bwawa la kuogelea lililokuwa mbele ya jukwaa. Bahati nzuri mrembo huyo anajua […]

 

9 years ago

Bongo5

Black Rhino asimulia jinsi collabo ya Chagua Moja ya Fid Q, Langa na Adili ilivyowaweka kwenye ushindani wa kutaka kufunikana

Chagua Moja, ya Fid Q aliyowashirikisha Black Rhino, marehemu Langa na Adili ni moja kati ya collabo bora zilizowahi kufanyika kwenye muziki wa Bongo Flava. Black Rhino amekiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa wimbo huo ulifanyika katika mazingira yenye ushindani mkubwa. “Kila mtu alikuwa anataka amuonesha mwenzake kwamba, me I am the best, kwahiyo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani