Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nassari asimulia ajali, Ndesamburo kununua chopa mpya

Wakati Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akisema anashindwa kuamini kilichotokea na kunusurika katika ajali ya helikopta juzi, mmiliki wa chopa hiyo, Philemon Ndesamburo amesema atanunua nyingine haraka kabla ya kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aliyenusurika ajali ya Mbeya asimulia

>Mmoja wa majeruhi wa ajali iliyoua watu 19, Mariam Manfredy (28) aliyevunjika mguu wa kushoto, anasimulia ajali hiyo na kusema chanzo ni mwendo kasi na kuungua kwa breki.

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA AJALI YA CHOPA HUKO KIPUNGUNI DAR

Helkopta aina ya Chopa iliyoanguka maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam, leo asubuhi na kuua watu wanne waliokuwemo akiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Miili ya watu waliokuwemo kwenye helkopta hiyo ikiwa imekandamizwa na mabaki ya chopa hiyo.Sehemu ya mashuhuda wa maeneo hayo wakishuhudia ajali hiyo.Helkopta inayosemekana inamilikiwa na TANAPA imeanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASSARI NA AJALI YA HELKOPTA

Mbunge wa Jimbo la Arumeri Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Helkopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo.Habari kutoka Arum,eru zinasema kuwa Helkopta hiyo ilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga mti na kunasa juu ya mti huo.

Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha. 
Father Kidevu Blog inatoa pole kwa Mbunge huyo na Wapigakura...

 

11 years ago

Mwananchi

Majeruhi asimulia chanzo cha ajali

Majeruhi wa basi la Burudani lililouwa watu 12 na kujeruhi wengine 93 katika Kijiji cha Taula, Kwedizinga wilayani Handeni, Tanga, wamesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva kuendesha mwendo kasi.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI YA CHOPA JIONI YA LEO

 Chopa iliyokuwa ikitumiwa na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassary ikiwa juu ya mti mara baada ya kupiga mweleka jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.

 

10 years ago

Vijimambo

Bwana harusi asimulia walivyonusa kifo ajali ya mtumbwi

Bwana harusi, Ramadhani Hamisi (30), aliyenusurika kifo baada ya mtumbwi kuzama katika Ziwa Tanganyika na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine 11 kujeruhiwa, ameibuka na kusimulia jinsi alivyochungulia kaburi.

Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum jana, Hamis alisema baada ya kuona mtumbwi ukizama, alimrukia mkewe na kumshika mkono na kisha kuanza kuogelea naye hadi nchi kavu na hivyo kunusurika kifo.

Kutokana na hali hiyo, anasema anamshukuru Mungu kwa yeye na mkewe, Mariamu (24),...

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: MBUNGE WA LUDEWA MHE DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA

 










Mbunge wa Ludewa Mhe Deogratias Haule Filikunjombe (chini) amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa (juu kulia), mfanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa na ndugu yake Marehemu Filikunjombe ambao majina  hayajapatikana mara moja.
Mhe. Deo Filikunjombe, rubani na  na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya chopa namba  5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa.

Kwa mujibu wa Meya wa Ilala aliyemaliza muda...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege ya Ethiopia: Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza asimulia alichoshuhudia

Ripoti ya awali iliyotolewa na mamlaka nchini Ethiopia imelaumu waundaji wa ndege ya Boeing 737 Max

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE JOSHUA NASSARI AMEPATA AJALI BAADA YA HELIKOPTA ALIYOKUWA AKIITUMIA KUKUMBWA NA DHORUBA

Kwa  taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mbunge Wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nasary amepata ajali leo jioni akiwa maeneo ya Leguruki.
Kwa taarifa za mwanzo zinasemekana mbunge huyo amenusurika na amepata majeraha madogo lakini mmoja Wa abiria wake kavunjika mguu.Mbunge amekimbizwa katika Hosptali ya Selian na kwa mujibu wa Katibu wa mbunge hajaumia sana ila abiria wawili mmoja anajulikana kwa jina la Eve ambaye ni mmoja wa viongozi wa BAWACHA jimboni kaumia mbavu na mwingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani