Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA MALORI MKOANI MBEYA

Wananchi wakiwa eneo la ajali baada ya malori kugongana huko Simike, Mbeya. AJALI hii imetokea maeneo ya Simike mkoani Mbeya ikiyahusisha malori mawili na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo. Kutokana na foleni hiyo, wananchi wengi waliamua kutembea kwa miguu huku waendesha bodaboda wakipata abiria wa kumwaga kutokana na barabara hiyo kutopitika kwa muda. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO AU...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AJALI YAUA WAWILI, YAJERUHI 23 MKOANI MBEYA

Hivi ndivyo ilivyokuwa ajali hiyo iliyohusisha Lori na Coaster katika eneo la Mbalizi.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyotokea leo jioni katika eneo la Mlima Iwambi kuelekea Mbalizi.

Baadhi ya askari polisi wakilinda mali zilizokuwemo katika lori, hata hivyo askari hao walilazimika kurusha risasi hewani kuwatawanya watu waliotaka kupora bidhaa hizo.

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa katika...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 10 NA KUJERUHI 7 MBALIZI MKOANI MBEYA LEO

Daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace baada ya kuparamia lori.
Lori lenye namba za usajili T 158 CSV lililoparamiwa na daladala. Askari wa…

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUPER FEO YAUA 3, YAJERUHI 28 MKOANI MBEYA

WATU watatu wamekufa papo hapo huku wengine 28 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Feo walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Songea mkoani Ruvuma kupinduka na kutumbukia mtoni leo asubuhi. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Shamwenga, Kata ya Inyara mkoani Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

watatu wapoteza maisha katika ajali ya basi mkoani mbeya leo

Watu watatu wamepoteza maisha leo baada ya basi la abiria  liitwalo Super Feo linalofanya safari zake toka Mbeya Songea baaya ya kupata ajali maeneo ya Inyara mkoani Mbeya likiwa na abiria 20. Habari zinasema dereva wa basi hilo lenye uwezo  wa kubeba abiria 53 kutaka kulipita gari lingine  bila ya uangalifu ambapo akakutana na roli mbele yake hivyo katika kujiokoa akakimblia kulia zaidi ndipo basi likapinduka mara tatu na kufikia kwenye kalvati.Waliotajwa kupoteza maisha ni Anastazia...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:AJALI YA BASI BWAWANI LIKIELEKEA MKOANI MBEYA,HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA.

 Pichani ni basi aina ya Costa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya limepata ajali na kupinduka kama lionekavyo pichani juu baada ya kuyumba na kuacha njia eneo la Bwawani muda wa saa 12.30 jana jioni . Kuna majeruhi kadhaa ambao wanapatiwa matibabu katika kituo cha Afya cha Magereza ya Bwawani. Chanzo cha ajali kinasadikiwa kuwa ni mwendo kasi na utelezi kutokana na mvua iliyokuwa inanyesha wakati huo.Chanzo Mdau wa Blog ya Jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Malori ya TZ yasababisha ajali 227 nchini Zambia

>Wakati Serikali na wadau wa usafiri wakiendelea kutafuta mwarobaini wa ajali nchini, imeelezwa kuwa malori ya Tanzania yamesababisha ajali 227 nchini Zambia kati ya Januari na Mei.

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA Mbeya kuanza ukaguzi wa malori

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), imesema itaanza kufanya ukaguzi wa malori yanayosafirisha mafuta na mizigo kupitia vituo vya Kasumulu na Tunduma, mkoani Mbeya. Lengo la mpango huo ni kudhibiti uingiaji holela nchini wa bidhaa zilizopigwa marufuku, zikiwamo dawa za kulevya.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo

Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya magari ya mizigo aina ya Scania Kipisi na Mitsubish Fusso waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani