HEKAYA ZA MLEVI: Nikilewaga na pombe yangu inamwagika
>Ama kweli shibe mwana malevya. Wazungu walikuwa na usemi wa “Too much of anything is harmful.†Chochote kile kinapozidi huzua madhara. Sherehe zikizidi kazi haitafanyika na kazi ikizidi mapumziko yatakosekana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Mar
HEKAYA ZA MLEVI: Uzalendo siyo ugaidi
10 years ago
Mwananchi25 Oct
HEKAYA ZA MLEVI: Paka shume sina jalala...
11 years ago
Mwananchi03 May
HEKAYA ZA MLEVI: Ni wajibu kuwajibika pasi na kutukanika
11 years ago
Mwananchi05 Jul
HEKAYA ZA MLEVI: Maajabu haya yapo Tanzania tu...
11 years ago
Mwananchi01 Feb
HEKAYA ZA MLEVI: Eti, mwanangu acheze picha ya ngono?
10 years ago
Mwananchi27 Dec
HEKAYA ZA MLEVI: Vua suti ujitwishe debe la dhahabu
11 years ago
Mwananchi03 Aug
HEKAYA ZA MLEVI: Ujana maji moto, uzee maji baridi
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)
![12292738_1516860355279681_1179389451_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12292738_1516860355279681_1179389451_n-300x194.jpg)
Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...