DAWASCO YAONGEZA USAMABAZAJI WA MAJI SAFI KUPAMBANA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw. Said Meck Sadick akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani ofisini kwake leo alipokutana nao kuelezea utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa DAWASCO kuhusu usambazaji wa maji safi na salama ili kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es salaam leo alipokutana nao kuelezea utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Serikali kuhusu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Sep
Dawasco yabaini majitaka kuingilia mfumo wa maji safi
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), limebaini kuwapo mwingiliano wa maji taka kwenye mabomba ya maji safi unaodaiwa kusababishwa na uchimbaji wa mifereji ya karibu na mabomba yao.
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-uY3DnqFOBR0/VVyMJmMIQ2I/AAAAAAAAa-Y/CefpYxDw97c/s640/B1.jpg)
KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VYOO
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
![](https://2.bp.blogspot.com/-utueJlLvcrc/VAEFt9bWIqI/AAAAAAAAXXc/60Yejvxm-3s/s1600/Modesta%2BMushi.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-dJAlQfjgYfw/VAEFtuoqMYI/AAAAAAAAXXY/p7ed-tfkWT8/s1600/Mhandishi%2BJohn%2BKirecha.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvLuGfe*gDKzGkS8WV63zi63mPHP0ygdvsL6YQSLKA0ozti-Qa--5S5foeXaGNOdC9o1ZprSQfrqcTnN1NDiQIGq/d1.jpg?width=650)
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
9 years ago
MichuziJUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MASTAA WA SOKA WAJIMWAGIA NDOO YA MAJI BARIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA ALS
10 years ago
GPL18 Aug
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...