Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari kadhaa ulaya : ndoo za maji, wagonjwa, wanyama n.k- (2)

>Tuendelee na  baadhi ya habari zilizomeremeta Ulaya juma lililopita.Tuanze na akina mama. Hakimu mstaafu mwanamke , Jane Mary  Mowatt (66) alikosolewa baada ya mahojiano kuhusu ubakaji. Alidai wanawake wanaobakwa baada ya kulewa ( hadi wakajisahau) hujitakia wenyewe.  Wanapofika kizimbani na kujitetea hawakujua kilichotokea sawasawa shauri hawakujitambua “wanajipalia makaa.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Habari kadhaa za ulaya : afya na ugaidi - sehemu ya 1

Safu yako leo msomaji itaangalia baadhi ya habari moto moto zilizowaka Ulaya juma lililopita. Iliyoshika mpini ni ugaidi wa IS.

 

9 years ago

Michuzi

Chanzo cha maji cha Ruvu Chini kuwatua akina mama ndoo za maji

Meneja Mradi Ruvu chini Mhandisi Emmanuel Makasa (aliyevaa tai) akiongea na waandishi wa habari walipotembelea ujenzi wa bomba la maji kutoka Ruvu Chini kabla ya kusafirishwa kwenda jijini Dar es salaam.Fundi akiendelea na kazi ya kuunganisha na kuchomelea bomba la maji ambalo litasafirisha maji kutoka Ruvu Chini kwenda jijini Dar es salaam.Baadhi ya mitambo ya kusafisha maji ambayo yamesafishwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Chalinze yafikia Sh 700

UONGOZI wa Mradi wa Maji wa Wami Chalinze wilayani Bagamoyo, umetakiwa kutoa taarifa juu ya ukosefu wa maji, uliodumu takribani mwezi mzima sasa.

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi wauziwa ndoo ya maji 1,000/-

WAKAZI wa Kitongoji cha Nsololo wilayani Uyui katika Mkoa wa Tabora, hawana huduma ya maji ya kisima kwa zaidi ya miezi saba sasa, baada ya kisima kilichokuwepo kufungwa na uongozi wa eneo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-

WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kadhaa Ulaya : Kumbukumbu za vita vikuu , wanahabari wa kweli, nk- (3)

Habari iliyogota Uzunguni wiki iliyopita ni ipi zaidi ya ugaidi?

 

10 years ago

Mwananchi

Kadhaa ulaya : kujitenga kwa scotland na sinema ya mombasa-sehemu ya 4

Uingereza imechachamaa majuma machache yaliyopita. Ni kama Tsunami linakaribia.

 

11 years ago

GPL

NAY WA MITEGO AMWAGIWA NDOO YA MAJI KWENYE BETHIDEI

Na Musa Mateja
DUNIANI kuna vituko! Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa ndoo nzima ya maji kwenye sherehe yake ya kuzaliwa (bethidei). Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mpenzi wake Siwema. Tukio hilo la ajabu lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri usiku wa kuamkia Juni 10, mwaka huu maeneo ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO:Uwoya Amwagiwa Ndoo Nzima ya Maji -Siku Yake Yakuzaliwa

Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya katika hali asiyoitalajia alijikuta akimwagiwa ndoo mzima ya maji ya baridi  jana usiku huku akiimbiwa wimbo wa “Happy Birhday”.

Ndoo hiyo ya maji alimwagiwa na mwigizaji mwenzake Kajala nakushangiliwa na wenzake akiwemo Wolper.

Leo Uwoya aliandika bandiko hili mtandaoni

“Yani sina chakusema mlicho nifanya janaaa!asanteni sana nawapenda wote ila Kajala maji yalikuwa ya baridiii”  Kisha akaweka kipande kifupi cha video cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani