NAY WA MITEGO AMWAGIWA NDOO YA MAJI KWENYE BETHIDEI
![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZutqsnA6MqNxanbB4ae1Xk7OA0vFQ9ff-RQveAKFG64v2a0AzC4YSN-TKpwh7PV0pPXohW8hhpVtjmh6qk9qEBML/NEYWAMITEGO.jpg?width=650)
Na Musa Mateja DUNIANI kuna vituko! Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa ndoo nzima ya maji kwenye sherehe yake ya kuzaliwa (bethidei). Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mpenzi wake Siwema. Tukio hilo la ajabu lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri usiku wa kuamkia Juni 10, mwaka huu maeneo ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Dec
VIJIMAMBO:Uwoya Amwagiwa Ndoo Nzima ya Maji -Siku Yake Yakuzaliwa
Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya katika hali asiyoitalajia alijikuta akimwagiwa ndoo mzima ya maji ya baridi jana usiku huku akiimbiwa wimbo wa “Happy Birhday”.
Ndoo hiyo ya maji alimwagiwa na mwigizaji mwenzake Kajala nakushangiliwa na wenzake akiwemo Wolper.
Leo Uwoya aliandika bandiko hili mtandaoni
“Yani sina chakusema mlicho nifanya janaaa!asanteni sana nawapenda wote ila Kajala maji yalikuwa ya baridiii” Kisha akaweka kipande kifupi cha video cha...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JrJ-5Gcw4VJ6KClm2nnjeMQMwcnTh2jGh4Z*zjOMDJ8lR5Dyv8z-jWgoHQ3QwdkVWA2huqBVi-5pCc2p-jNwwWz/Nay.gif?width=650)
NAY WA MITEGO, PAM D WAFANYA UCHAFU KWENYE GARI
9 years ago
Bongo514 Sep
Nay wa Mitego na Diamond wayapeleka mabishano yao ya muziki kwenye siasa, soma vijembe walivyotupiana
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug