VIJIMAMBO:Uwoya Amwagiwa Ndoo Nzima ya Maji -Siku Yake Yakuzaliwa
Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya katika hali asiyoitalajia alijikuta akimwagiwa ndoo mzima ya maji ya baridi jana usiku huku akiimbiwa wimbo wa “Happy Birhday”.
Ndoo hiyo ya maji alimwagiwa na mwigizaji mwenzake Kajala nakushangiliwa na wenzake akiwemo Wolper.
Leo Uwoya aliandika bandiko hili mtandaoni
“Yani sina chakusema mlicho nifanya janaaa!asanteni sana nawapenda wote ila Kajala maji yalikuwa ya baridiii” Kisha akaweka kipande kifupi cha video cha...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZutqsnA6MqNxanbB4ae1Xk7OA0vFQ9ff-RQveAKFG64v2a0AzC4YSN-TKpwh7PV0pPXohW8hhpVtjmh6qk9qEBML/NEYWAMITEGO.jpg?width=650)
NAY WA MITEGO AMWAGIWA NDOO YA MAJI KWENYE BETHIDEI
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jPiKrgIh-LU/VlmiIp_LyqI/AAAAAAAIIwk/QzZfz4BDAyQ/s72-c/07.jpg)
Chanzo cha maji cha Ruvu Chini kuwatua akina mama ndoo za maji
![](http://4.bp.blogspot.com/-jPiKrgIh-LU/VlmiIp_LyqI/AAAAAAAIIwk/QzZfz4BDAyQ/s640/07.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HGSyjo2g948/VlmiKAqUMlI/AAAAAAAIIww/2LL3Pn6iSPs/s640/08.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-n6SnvV-6I7U/VlmiFECqDFI/AAAAAAAIIv8/zxtfB1EvtdQ/s640/03.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
CloudsFM17 Jul
SHETA AOGESHWA MAJI YA UKOKO SIKU YAKE YA KUZALIWA
Staa wa Bongo Fleva,Sheta alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya ukoko na wasanii wenzake siku ya kuzaliwa kwake jana.
Kisanga hicho kilimkumba jana wakati alipohudhulia futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Tatent(THT)baada ya watu kufuturu nay eye kuingia ndipo walipomuita pembeni kama wanaongea naye kilichotokea hapo ni kumwagiwa maji ya ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria.
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Naibu spika amwagiwa maji bungeni Kenya
11 years ago
Habarileo05 Aug
Wananchi wauziwa ndoo ya maji 1,000/-
WAKAZI wa Kitongoji cha Nsololo wilayani Uyui katika Mkoa wa Tabora, hawana huduma ya maji ya kisima kwa zaidi ya miezi saba sasa, baada ya kisima kilichokuwepo kufungwa na uongozi wa eneo hilo.
10 years ago
Habarileo22 Dec
Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-
WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.
10 years ago
Habarileo09 Jan
Ndoo ya maji Chalinze yafikia Sh 700
UONGOZI wa Mradi wa Maji wa Wami Chalinze wilayani Bagamoyo, umetakiwa kutoa taarifa juu ya ukosefu wa maji, uliodumu takribani mwezi mzima sasa.
10 years ago
GPLKISA WIVU, AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPENZI WAKE
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Shamsa Ford: Bongo Movies Nzima, Irene Uwoya Ndio Mwenye Roho Nzuri Kuliko Wote
Mwigizaji wa filamu,Shamsa Ford amefunguka kwa kusema yake ya moyoni kuhusu ni kwajinsi gani mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya anavyojitoa kwa wenzake, kwa kusema kuwa Irene ndie mwenye roho nzuri kuliko wanawake wote wa Bongo Movie.
Mara baada ya kuiweka picha hiyo hapo juu ya Irene Uwoya Shamsa aliandika;
“Kwa mtazamo wangu mimi katika wanawake wa bongo movie nzima hamna mwanamke anayempata iren kwa roho nzuri, ni mtu ambaye anapenda wenzake, anaweza akatumia hata senti yake ya mwisho...