Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasayansi: Kuvuta harufu ya ‘hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo

Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa chuo cha Exeter umeonesha kuwa, kuvuta ‘harufu ya hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo. Katika taarifa ya utafiti huo, Dr. Mark Wood amesema: “Although hydrogen sulfide gas” – produced when bacteria breaks down food – “is well known as a pungent, foul-smelling gas […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

10 years ago

Michuzi

BOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI KONGAMANO LA 29 LA WANASAYANSI WATAFITI MAGONJWA YA BINADAMU


  Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akimuonesha Mwananchi aliyetembelea banda la MSD  nembo ya MSD iliyowekwa katika makasha na vifungashiyo vya dawa. Mtaalamu wa Maabara kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Twahiri Magoolo  (kushoto), akimuelekeza jambo mwananchi  aliyetembelea banda la MSD katika kongamano la 29 la wanasayansi wa utafiti wa magonjwa ya binadamu Dar es Salaam jana. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Utafiti  Magonjwa ya Binadamu (NIMR).Dawa na vifaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

BOHARI YA DAWA (MSD): Yashiriki kongamano la 29 la Wanasayansi watafiti magonjwa ya binadamu

  Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akimuonesha Mwananchi aliyetembelea banda la MSD  nembo ya MSD iliyowekwa katika makasha na vifungashiyo vya dawa.  Mtaalamu wa Maabara kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Twahiri Magoolo  (kushoto), akimuelekeza jambo mwananchi  aliyetembelea banda la MSD katika kongamano la 29 la wanasayansi wa utafiti wa magonjwa ya binadamu Dar es Salaam jana. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Utafiti  Magonjwa ya Binadamu (NIMR).

Dawa na vifaa mbalimbali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania

Ahmedabad Apollo hospital

Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania  vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.

Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia kupunguza hewa chafu

Waziri mkuu wa Australia, Tony Abbott, amesema kuwa nchi yake itapunguza hewa chafu inayotoa angani kwa asilimia 26 ya kiwango inachotoa mwaka huu ifikapo mwaka 2030.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hewa chafu inaua mamilioni duniani

Watu milioni saba walifariki mwaka 2012 kutokana na hewa chafu, kwa mujibu wa shirika la afya duniani

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na China kupunguza hewa chafu

Marekani na China zimeweka wazi nia yao ya kupunguza kiasi cha hewa chafu inayozalishwa na nchi hizo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani