Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani na China kupunguza hewa chafu

Marekani na China zimeweka wazi nia yao ya kupunguza kiasi cha hewa chafu inayozalishwa na nchi hizo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Australia kupunguza hewa chafu

Waziri mkuu wa Australia, Tony Abbott, amesema kuwa nchi yake itapunguza hewa chafu inayotoa angani kwa asilimia 26 ya kiwango inachotoa mwaka huu ifikapo mwaka 2030.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hewa chafu inaua mamilioni duniani

Watu milioni saba walifariki mwaka 2012 kutokana na hewa chafu, kwa mujibu wa shirika la afya duniani

 

11 years ago

Mwananchi

Sayansi yabaini: Siri ya utoaji wa hewa chafu mwilini

>Kwa wengine, kutoa hewa chafu huenda kukawa ni jambo la aibu na pia la kufadhaisha.

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA INACHANGIA ASILIMIA 3 TU YA HEWA CHAFU DUNIANI - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema tatizo la mabadilko ya tabianchi ni kubwa sana na kama hazitachukuliwa hatua stahiki Dunia itaisha.
Ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Agosti 29, 2014) wakati akifungua mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira ambao ni wajumbe wa Kamati ya Wakuu wa Nchi Barani AfrikainayosimamiaMabadiliko ya Tabianchi (Committee of African Heads of States and Governments on Climate Change-CAHOSCC) wanaokutana kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini...

 

11 years ago

Bongo5

Wanasayansi: Kuvuta harufu ya ‘hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo

Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa chuo cha Exeter umeonesha kuwa, kuvuta ‘harufu ya hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo. Katika taarifa ya utafiti huo, Dr. Mark Wood amesema: “Although hydrogen sulfide gas” – produced when bacteria breaks down food – “is well known as a pungent, foul-smelling gas […]

 

5 years ago

CCM Blog

CHINA YALAANI KITENDO CHA MAREKANI KUKATAA KUTOA VIBALI VYA KUINGIA NCHI HIYO WANAFUNZI WA CHINA

China yalaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia nchi hiyo wanafunzi wa ChinaMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.Zhao Lijian amesema kuwa vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wa China sambamba na kukataa kuwapatia viza, ni kinyume na uwazi na uhuru ambao Washington imekuwa ikidai kuutekeleza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitahadharisha Marekani isijaribu kukiuka kwa namna yoyote haki za wanafunzi wa China, kwa kuwa kitendo hicho...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mgahawa unaotoza 'kupumua hewa safi' China

Mgahawa mmoja nchini China umepatikana ukitoza wateja wake gharama ya ''kupumua hewa safi ''.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kerry aitaka China kupunguza misukosuko

Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry amezumgumzia misukosuko inayozidi kuongezeka kusini mwa bahari ya China.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama:Marekani kupunguza udukuzi

Rais Barack Obama ameagiza kitengo cha ujasusi nchini humo kupunguza ukusanyaji wa habari kutoka simu za raia wa nchi hiyo na wa kigeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani