AFRIKA INACHANGIA ASILIMIA 3 TU YA HEWA CHAFU DUNIANI - WAZIRI MKUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-CDzI6jDvfW4/VAFlvVB6EkI/AAAAAAAGVoc/DJOKVJIT0Bg/s72-c/IMG_4991.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema tatizo la mabadilko ya tabianchi ni kubwa sana na kama hazitachukuliwa hatua stahiki Dunia itaisha.
Ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Agosti 29, 2014) wakati akifungua mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira ambao ni wajumbe wa Kamati ya Wakuu wa Nchi Barani AfrikainayosimamiaMabadiliko ya Tabianchi (Committee of African Heads of States and Governments on Climate Change-CAHOSCC) wanaokutana kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Hewa chafu inaua mamilioni duniani
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dc4Mwrw6QT4/VBgiuf69GBI/AAAAAAAGj8M/-FVeHCAjxng/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4M6IMZ9n2Ho/VWxrpeeNctI/AAAAAAAAA5s/N3CDCdO36ro/s72-c/congress%2B2015.png)
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI .
![](http://1.bp.blogspot.com/-4M6IMZ9n2Ho/VWxrpeeNctI/AAAAAAAAA5s/N3CDCdO36ro/s640/congress%2B2015.png)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
11 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU TMA ASHIRIKI MKUTANO WA 66 WA KAMATI KUU YA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO-EC)
![](http://3.bp.blogspot.com/-MR8k-zJVjE8/U62mQDtPdsI/AAAAAAAFtQk/3CMG6HhWuW0/s1600/Rais+wa+Shirikia+la+Hali+ya+Hewa+Duniani++Prof.+David+Grimes++(+wanne+kushoto+kutoka+mstari+wa+mbele)+na+Katibu+Mkuu+wa+Shirika+la+Hali+ya+Hewa+Duniani+Michel+Jarraud+(watatu+kutoka+kushoto+mstari+wa+mbele)+kat.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa...
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Australia kupunguza hewa chafu
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4M6IMZ9n2Ho/VWxrpeeNctI/AAAAAAAAA5s/N3CDCdO36ro/s72-c/congress%2B2015.png)
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI TAREHE: 25 MEI HADI 12 JUNE 2015.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4M6IMZ9n2Ho/VWxrpeeNctI/AAAAAAAAA5s/N3CDCdO36ro/s640/congress%2B2015.png)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Marekani na China kupunguza hewa chafu
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Sayansi yabaini: Siri ya utoaji wa hewa chafu mwilini
10 years ago
VijimamboHALI YA HEWA YAENDELEA KUWANOA WATAALAMU WAKE KATIKA KUKIDHI VIGEZO VYA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)
IMG0086: Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga kutoka Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma,Kulia kwake mwenye tai nyekundu ni Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma Bw. Joseph...