Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUHAS WAADHIMISHA SIKU YA MAGONJWA YA WATOTO YA RHEUMATISM

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Kila ifikapo Machi 18, dunia huadhimisha siku ya magonjwa ya watoto ya Rheumatism ambayo husababishwa na hitilafu katika mfumo wa Kinga ya mwili ambayo hushambulia  sehemu mbalimbali za mwili badala ya kuulinda.

Magonjwa hayo yanaweza kusababisha ulemavu na udhaifu wa mwili.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Daktari Bingwa wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Francis Furia amesema magonjwa hayo huwa na madhara mengi kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

10 years ago

Michuzi

SOS WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA MWANZILISHI WA VIJIJI VYA WATOTO DUNIANI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Watoto wametakiwa kujaliwa kwa kila namna ili kuwaanda kuwa taifa bora kutokana na misingi ambayo imewekwa kwa watoto hao.


Akizungumza na leo katika maadhimisho ya kuezi  kuzaliwa kwa mwanzilishi Vijiji vya Watoto SOS,Herman Gmeiner,Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS,Anglolwisye Mwollo-ntalima,amesema  kuwa kila juni 23 kila mwaka wanaadhimisho kuzaliwa kwa Gmeiner.

Mwollo-ntalima amesema kuwa kutokana na mwanzilishi huyo kwa sasa Rais wa SOS ni mtu aliyetokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waadhimisha ‘birthday’

Nderemo na vifijo vilisikika kwa muda jana katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chumba cha wauguzi anamoishi Grace Joel na wa watoto wake pacha, waliowasili juzi kutoka India walikofanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha.

 

10 years ago

Habarileo

Waadhimisha siku ya matumizi ya vyoo

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema ujenzi wa vyoo shuleni na matumizi yake utasaidia kupunguza maradhi ya mlipuko na kuimarisha afya za wanafunzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UDSM waadhimisha Siku ya Wanawake

MWENYEKITI wa Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Julius Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Penina Mlama, amesema wanawake wataendelea kuukumbusha ulimwengu kuwa kuna mapambano makubwa katika kuleta...

 

10 years ago

Michuzi

CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI

Mratibu wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina ya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na TEN/MET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania (CWT).
Ofisa Mradi wa TEN/MET, Alistidia Kamugisha (kulia), Meneja wa Fedha na Utawala (TEN/MET), Beatrice Malya (katikati) na Mratibu wa TEN/MET, Cathleene Sekwao. 

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar waadhimisha siku ya utalii duniani

KAMISHENI ya Utalii Zanzibar jana ilizindua Siku ya Utalii Duniani ambayo itafikia kilele chake kesho katika kijiji cha Nungwi wilaya ya Kaskazini Unguja.

 

11 years ago

Michuzi

Wauguzi wilaya ya Hanang' waadhimisha siku yao jana

Baadhi ya wauguzi wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, wakiandamana jana kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi ambayo ilifanyika jana baada ya kushindwa kufanyika Mei 12 kutokana na kuwa na wagonjwa wengi kwenye hospitali ya Tumaini ya wilaya hiyo na kituo cha afya Katesh. Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Christina Mndeme akizungumza na wauguzi wa wilaya hiyo (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambapo katika wilaya hiyo ilifanyika jana kutokana na...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIA

Rais wa Vikoba Tanzania na Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Devota Likokola akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani,Itakayoadhimishwa rasmi kesho Duniani kote.Hafla hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo Mlimani city jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mariedo, Mary Amri, akizungumza… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani