Wauguzi wilaya ya Hanang' waadhimisha siku yao jana
![](http://2.bp.blogspot.com/-b2nt7Ptgdew/U3hhc-lVV3I/AAAAAAAFjYo/UMz5i-bYtP4/s72-c/unnamed+(11).jpg)
Baadhi ya wauguzi wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, wakiandamana jana kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi ambayo ilifanyika jana baada ya kushindwa kufanyika Mei 12 kutokana na kuwa na wagonjwa wengi kwenye hospitali ya Tumaini ya wilaya hiyo na kituo cha afya Katesh.
Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Christina Mndeme akizungumza na wauguzi wa wilaya hiyo (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambapo katika wilaya hiyo ilifanyika jana kutokana na...
Michuzi