Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto pacha waadhimisha ‘birthday’

Nderemo na vifijo vilisikika kwa muda jana katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chumba cha wauguzi anamoishi Grace Joel na wa watoto wake pacha, waliowasili juzi kutoka India walikofanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MUHAS WAADHIMISHA SIKU YA MAGONJWA YA WATOTO YA RHEUMATISM

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Kila ifikapo Machi 18, dunia huadhimisha siku ya magonjwa ya watoto ya Rheumatism ambayo husababishwa na hitilafu katika mfumo wa Kinga ya mwili ambayo hushambulia  sehemu mbalimbali za mwili badala ya kuulinda.

Magonjwa hayo yanaweza kusababisha ulemavu na udhaifu wa mwili.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Daktari Bingwa wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Francis Furia amesema magonjwa hayo huwa na madhara mengi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari wa watoto pacha kwenda Mbeya

Daktari aliyewapokea watoto pacha waliokuwa wameungana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuwapeleka India kufanyiwa upasuaji, Zaituni Bokhary anatarajia kuwasili nchini leo akitokea masomoni Misri na kwenda Mbeya kuwajulia hali watoto hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha kufanyiwa operesheni nyingine

Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana watafanyiwa upasuaji mwingine ili kuwatengenezea njia ya mkojo ya kudumu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waruhusiwa kurejea Mbeya leo

Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana wameruhusiwa jana kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na leo wanarejea Kyela, Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

SOS WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA MWANZILISHI WA VIJIJI VYA WATOTO DUNIANI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Watoto wametakiwa kujaliwa kwa kila namna ili kuwaanda kuwa taifa bora kutokana na misingi ambayo imewekwa kwa watoto hao.


Akizungumza na leo katika maadhimisho ya kuezi  kuzaliwa kwa mwanzilishi Vijiji vya Watoto SOS,Herman Gmeiner,Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS,Anglolwisye Mwollo-ntalima,amesema  kuwa kila juni 23 kila mwaka wanaadhimisho kuzaliwa kwa Gmeiner.

Mwollo-ntalima amesema kuwa kutokana na mwanzilishi huyo kwa sasa Rais wa SOS ni mtu aliyetokana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waliotenganishwa India sasa waanza kutembea

Hali za watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana, Eliud na Elikana wenye mwaka mmoja na miezi sita, zinazidi kuimarika tangu walipofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Julai mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

10 years ago

CloudsFM

SHOO YA BIRTHDAY YA MH.TEMBA, ASILIMIA 80 YA MAPATO KUCHANGIA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA TEMEKE

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii Amani Temba a.k.a Mheshimiwa Temba kutoka kundi ya TMK Wanaume Family.Usiku wa leo ameandaa shoo maalum ndani ya ukumbi wa Ikweta Grill, Temeke kiasi cha mapato kitaenda kuchangia wodi ya watoto katika hospitali ya Temeke, kama ilivyokuwa kwa bendi ya Yamoto Band mwishoni mwa mwezi wa tisa walipoambatana na timu nzima ya TMK Wanaume Temba kuchangia hospitalini hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani