Watoto pacha kufanyiwa operesheni nyingine
Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana watafanyiwa upasuaji mwingine ili kuwatengenezea njia ya mkojo ya kudumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Watoto wazidi kufanyiwa ukatili
Watoto watatu kati ya 10 wenye umri chini ya miaka 18 nchini wamefanyiwa vitendo vya ukatili.
9 years ago
MichuziWatoto 25 kufanyiwa Opasuaji wa Moyo JKCI
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Sharjah Khayriyyah kutoka Falme za Kiaarab wanatarajia kuwafanyia Operesheni ya moyo watoto 25. Opereshini hiyo imeanza leo na itamalizika Disemba 15, mwaka huu.
Operesheni hiyo inatekelezwa na timu ya wataalamu wanane kutoka Jumuiya hiyo kwa kushirikiana na wataalamu wa Taasisi ya JKCI.
Kaimu Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi amesema kambi hiyo ni ya mwisho kwa...
Operesheni hiyo inatekelezwa na timu ya wataalamu wanane kutoka Jumuiya hiyo kwa kushirikiana na wataalamu wa Taasisi ya JKCI.
Kaimu Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi amesema kambi hiyo ni ya mwisho kwa...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Watoto pacha waadhimisha ‘birthday’
Nderemo na vifijo vilisikika kwa muda jana katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chumba cha wauguzi anamoishi Grace Joel na wa watoto wake pacha, waliowasili juzi kutoka India walikofanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha.
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Daktari wa watoto pacha kwenda Mbeya
Daktari aliyewapokea watoto pacha waliokuwa wameungana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuwapeleka India kufanyiwa upasuaji, Zaituni Bokhary anatarajia kuwasili nchini leo akitokea masomoni Misri na kwenda Mbeya kuwajulia hali watoto hao.
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Watoto pacha waruhusiwa kurejea Mbeya leo
Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana wameruhusiwa jana kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na leo wanarejea Kyela, Mbeya.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Watoto pacha waliotenganishwa India sasa waanza kutembea
Hali za watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana, Eliud na Elikana wenye mwaka mmoja na miezi sita, zinazidi kuimarika tangu walipofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Julai mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi25 May
Maisha ya kulea watoto na heka heka nyingine mitaani london
Moja ya mambo mazuri, makubwa yaliyofanywa na viongozi wa sasa Tanzania ni jitihada zake Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kurekebisha usafiri jijini Dar es Salaam. Siyo tu kwamba Dk Mwakyembe na wizara yake walifufua usafiri wa magari moshi jijini, bali pia wamesaidia ajira kwa mamia ya vijana.
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Rooney kufanyiwa uchunguzi zaidi
Nahodha wa Manchester united Wayne Rooney, atafanyiwa uchunguzi zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo la goti lake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania