Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari wa watoto pacha kwenda Mbeya

Daktari aliyewapokea watoto pacha waliokuwa wameungana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuwapeleka India kufanyiwa upasuaji, Zaituni Bokhary anatarajia kuwasili nchini leo akitokea masomoni Misri na kwenda Mbeya kuwajulia hali watoto hao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Daktari awataka pacha wa Mbeya, nauli kikwazo

Mkuu wa Kitengo cha Upasuaji wa Watoto cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Zaituni Bokhary amerejea nchini na kuwataka wazazi wa watoto pacha Elikana na Eliudi kuwaleta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uchunguzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waruhusiwa kurejea Mbeya leo

Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana wameruhusiwa jana kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na leo wanarejea Kyela, Mbeya.

 

10 years ago

Habarileo

Pacha walioungana kwenda kidato 5

Mapacha wa IringaPACHA walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe wamefaulu mtihani wao wa kuhitimu kidato cha nne kwa alama sawa isipokuwa masomo mawili.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Pacha wa Mbeya’ watoka hospitali

>Watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana, Eliud Erick na Elikana Erick, ambao walikuwa wakifanyiwa operesheni katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya (MRH), wameruhusiwa kurudi nyumbani Kasumulu wilayani Kyela.

 

11 years ago

Mwananchi

Mama ajifungua pacha wanne Mbeya

Mwanamke Aida Nakawana (25) wa Kijiji cha Chiwanda wilayani Mbozi, Mbeya amejifungua watoto wanne wa kiume kwa njia ya kawaida katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waadhimisha ‘birthday’

Nderemo na vifijo vilisikika kwa muda jana katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chumba cha wauguzi anamoishi Grace Joel na wa watoto wake pacha, waliowasili juzi kutoka India walikofanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha kufanyiwa operesheni nyingine

Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana watafanyiwa upasuaji mwingine ili kuwatengenezea njia ya mkojo ya kudumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani