UDSM waadhimisha Siku ya Wanawake
MWENYEKITI wa Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Julius Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Penina Mlama, amesema wanawake wataendelea kuukumbusha ulimwengu kuwa kuna mapambano makubwa katika kuleta...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Kijiji cha Gongoni wilayani Kilosa waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanawake wapata hati miliki za ardhi
Angelina Mziray Katibu Mkuu wa Women and Poverty alleviation in Tanzania , Akiwakaribisha wageni Mbalimbali waliofika katika Sherehe za Kuazimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo wao wameadhimisha mapema,Katika Ufunguzi Alisema kuwa Shirika lisilo ka Kiserikali la Waupata wakishirikiana na OXFAM wamesaidia Kijiji hicho katika kuleta maendeleo mbalimbali Tangu mwaka 2006 ikiwa ni pamoja na Kilimo cha mpunga, Matumizi Bora ya Ardhi, Ambapo Pia aliwashukuru OXFAM kwa kuleta ufugaji bora wa...
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIA
Rais wa Vikoba Tanzania na Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Devota Likokola akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani,Itakayoadhimishwa rasmi kesho Duniani kote.Hafla hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo Mlimani city jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mariedo, Mary Amri, akizungumza… ...
5 years ago
MichuziTANESCO MOROGORO WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA WAREKEBISHWA GEREZA LA KINGORWUILA
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Morogoro wakisheherekea siku ya Wanawake Duniani katika viwanja vya Jamuhuri Manispaa ya Morogoro
…………………………………………………………
NA FARIDA SAIDY,MOROGORO
Jamii imeaswa kusaidia watu wenye uhitaji wakiwemo walioko magerezani hususani wanawake kwa kuwa bado wanauhitaji wa vitu mbalimbali kama binaadamu wengine walioko uraiani.
Wito huo umetolewa na meneja wa TANESCO Mkoa wa Morogoro Mhandisi Fedgrace Shuma baada ya kutembelea gereza la wanawake la kingorwuila lililopo...
10 years ago
VijimamboKIJIJI CHA GONGONI WILAYANI KILOSA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
WANAWAKE WAPATA HATI MILIKI ZA ARDHIAngelina Mziray Katibu Mkuu wa Women and Poverty alleviation in Tanzania , Akiwakaribisha wageni Mbalimbali waliofika katika Sherehe za Kuazimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo wao wameadhimisha mapema,Katika Ufunguzi Alisema kuwa Shirika lisilo ka Kiserikali la Waupata wakishirikiana na OXFAM wamesaidia Kijiji hicho katika kuleta maendeleo mbalimbali Tangu mwaka 2006 ikiwa ni pamoja na Kilimo cha mpunga, Matumizi Bora ya Ardhi, Ambapo Pia aliwashukuru...
5 years ago
MichuziDAWASA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUSHIRIKI UZALISHAJI MAJI MTAMBO WA RUVU CHINI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mamlaka ya maji safi na Usafi Dar es Salaam na Pwani DAWASA kwa watendaji wanawake kuhusika katika uzalishaji wa maji.
Wanawake wa Dawasa wameshiriki katika uzalishaji maji katika chanzo cha maji cha Ruvu Chini.
Akizungumzia Siku ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka, Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Dawasa , Neli Msuya amesema wameamua kushiriki maadhimisho hayo kwa kwenda chanzo cha Ruvu Chini ili...
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mamlaka ya maji safi na Usafi Dar es Salaam na Pwani DAWASA kwa watendaji wanawake kuhusika katika uzalishaji wa maji.
Wanawake wa Dawasa wameshiriki katika uzalishaji maji katika chanzo cha maji cha Ruvu Chini.
Akizungumzia Siku ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka, Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Dawasa , Neli Msuya amesema wameamua kushiriki maadhimisho hayo kwa kwenda chanzo cha Ruvu Chini ili...
10 years ago
MichuziKIPINDI CHA MASKANI YA TIMES FM WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA, DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi msaada wa mashuka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk, Sophinias Ngonyani (kulia) mara baada ya Timu nzima ya Kipindi cha Maskani kilipopiga hodi hospitalini hapo kutoa misaada ya mashuka yapatayo 200 kwa ajili wodi ya akina mama na watoto. Msaada huo ilikuwa ni kuunga mkono maadhimisho ya wanawake duniani inayoadhimishwa leo Machi 8, duniani kote. Wanaoshuhudia ni Mbunge wa Kinondoni Mhe. Idd...
10 years ago
Habarileo22 Nov
Waadhimisha siku ya matumizi ya vyoo
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema ujenzi wa vyoo shuleni na matumizi yake utasaidia kupunguza maradhi ya mlipuko na kuimarisha afya za wanafunzi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania