UMEWAMALIZA MTAA MZIMA, NANI AKUOE?
![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8S0jEm1rIQO065gQRUrKqBABfvIjJ8lL1Bh22Dqn0J4MG4Fm3adSZqRYyFPeJkJ-x0K8xsqGPiK2x0WBh2VcfTj/31225madalinadianagheneasexy.jpg?width=650)
Mmh! Kweli tuna macho lakini hatuoni, tuna masikio lakini hatusikii, tukiitwa masanamu tutakasirika? Nasema tena kwa mdomo mpana, baadhi yetu wanawake ni masanamu yenye damu. Hata ukinichukia ndiyo hivyohivyo kama wewe ni mmoja wao unatakiwa kubadilika. Ujinga wetu wa kutotambua makusudi ya Mungu kukufanya mrembo, alikusudia kukurahisishia uonekane kwa urahisi na ili upate mume wa kukuoa. Uzuri wako unautumia vibaya mwisho wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Feb
MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE
Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Rt5GttNwz4g/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZDBt_bleUvc/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog05 Dec
PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!
![](http://3.bp.blogspot.com/-zDzQydVn6iw/VlnL1taDRUI/AAAAAAABZXk/KALo3gV627Y/s640/vlcsnap-2015-11-28-17h41m47s240.png)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CmS5YsFRpA4/default.jpg)
9 years ago
MichuziMPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
10 years ago
Michuzi22 Nov
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SV1VBhHMP24/VIg03zYJU-I/AAAAAAAAoc0/N5jDA22POU4/s72-c/IMG-20141210-WA0008.jpg)
KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA ZA AJALI YA KUTATANISHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-SV1VBhHMP24/VIg03zYJU-I/AAAAAAAAoc0/N5jDA22POU4/s1600/IMG-20141210-WA0008.jpg)
10 years ago
Michuzi21 Jan