Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA ZA AJALI YA KUTATANISHA

 Katika pita pita zetu za Mtaa kwa Mtaa,tuliibuka maeneo ya Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam na kukutana na mziki huu mnene na wakutatanisha uliozikutanisha gari mbili,ukiangaliwa kwa makini utabaini kuwa hili gari kubwa lenye nambari za Usajili T 544 CKG mali ya Kampuni ya Azania lilikuwa lipo kwenye njia yake halali kabisa kuelekea Buguruni na huyo mwenye Gari ndogo lenye nambari za Usajili T806 AVT anaonekana akielekea Ubungo lakini katika njia ambayo haimruhusu yeye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani