Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirika la World Vision Tanzania jijini Arusha latoe elimu ya kujikinga na Corona,Ulinzi na usalama wa mtoto wa kike katika vijiji 32

Na Jusline Marco-Longido

Shirika la World Vision Tanzania,Mkoani Arusha limetoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyoenda  sambamba na ulinzi na usalama wa mtoto wa kike katika vijiji 32 Wilayani Longido.

Akizungumza na waandishi wa habari Wilayani humo mratibu wa Kitumbeine DP, Bi.Peruth Daudi alisema kuwa katika suala la uhamasihaji jamii juu ya COVID-19 wameweza kufikia vijiji 19 vilivyomo ndani ya Mradi huo huku vijiji 13 vikiwa nje ya mradi ambavyo  navyo vimeweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MEDO LA MKOANI SINGIDA LATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA


Daktari Mgonza Mgonza (kushoto) kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida, akiwaelekeza wananchi namna sahihi ya kuvaa na kuvua barakoa katika kampeni ya utoaji elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Corona Wilaya ya Singida.

Afisa Miradi wa Shirika la Mtinko Education Development Organization (MEDO), Hasan Rasuli akiwaelekeza wananchi jinsi ya kusafisha mikono kwa usahihi.
Mohamed Mpera kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida, akiwaelekeza wananchi namna sahihi ya kunawa...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA SEMA LATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWA ASKARI POLISI WA MKOA WA SINGIDA

Mdau wa mapambano dhidi ya Corona kutoka Taasisi ya Empower Youth Prosperity ( EYP) ya mkoani Mbeya, Ipyana Mwakyusa akitoa elimu ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona kwa Askari Polisi wa Kituo Kikuu cha Mkoa wa Singida leo hii Asubuhi.Askari Polisi wa Kituo Kikuu cha Mkoa wa Singida, wakipata elimu hiyo.Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Florence Mwenda, akisisitiza jambo kwa askari wa kituo hicho, wakati wa kutolewa kwa elimu hiyo.Mdau wa mapambano dhidi ya Corona kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA SEMA MKOA WA SINGIDA LATOA ELIMU NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA

Mwezeshaji wa Mradi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali  la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa Singida,  Witness Anderson (kushoto) akitoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Manispaa ya Singida ya namna ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona.Mwezeshaji wa Mradi kutoka Shirika hilo,  Witness Anderson, akionesha namna ya kunawa mikono.
Afisa wa Shirika lisilo la Kiserikali  la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SINGIDA WALIPONGEZA SHIRIKA LA SEMA KWA UTOAJI ELIMU YA KUJIKINGA VIRUSI VYA CORONA


Amani Twaha, akitoa elimu.
Elimu ikitolewa kwa wasafisha viatu.

Witness Anderson, akitoa elimu kwa muuza mitumba.
Ipyana Mwakyusa akitoa elimu hiyo kwa madereva wa bajaj.

Mary Kilimba (kulia) na Veronica Peter wakitoa elimu hiyo kwa njia ya mabango.
Wananchi wakiwa wamevaa barakoa kujikinga na Corona.
Tatu Muna, akizungumzia kuhusu Corona.




Maafisa wa Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa Singida, Mary Kilimba (kushoto) na Veronica ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa kike anavyosongwa katika safari ya kupata elimu

Kama kuna mikakati iliyobuniwa kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu nchini, ni pamoja na ujenzi wa shule za sekondari za kata.

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yatoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona



Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC. makao makuu Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini  Dkt. Ismail Gatalya  wakati akitoa elimu na mafunzo kwa wafanyakazi hao juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

 

5 years ago

Michuzi

WORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA


Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI YAFANA ARUSHA

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani