Elimu ya msingi kuendelea kutolewa bure
SERIKALI imesema elimu ya msingi inaendelea kutolewa bure kwenye shule za serikali licha ya kwamba wazazi wanachangia kwa kiasi kidogo.
Hayo yalielezwa bungeni mjini hapa jana, na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, wakati akijibu swali la Dk, Hamisi Kigwangwala (Nzega-CCM), aliyetaka kujua kwa nini serikali inakusanya kodi kwa wananchi na kisha kuchangiwa huduma za afya, elimu na maji badala ya kutoa huduma hizi bure.
Malima, alisema chanzo kikuu cha mapato ya serikali yoyote ni...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli
11 years ago
Habarileo06 Jan
Maoni ya Katiba kuendelea kutolewa
WATANZANIA wametakiwa kuendelea kutoa maoni kuhusu Katiba mpya, lakini safari hii kupitia wabunge wao na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, ambao wao kisheria ni wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
10 years ago
Michuzi12 Apr
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?
10 years ago
Habarileo09 May
Elimu sheria ya mtandao kutolewa
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema kuanzia wiki ijayo wataalamu wake wataanza kutoa elimu kwa umma kuhusu sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015, ili ianze kutumika rasmi.
10 years ago
Michuzi
NHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure

Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania
WARIOBA IGOMBE
NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.
Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.
Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...
5 years ago
Michuzi
Vodacom Tanzania yawezesha wanafunzi kuendelea na masomo kupitia jukwaa la kidijitali bure.

Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini kunufaika na utoaji wa elimu bure kupitia jukwaa la kidijitali.Shule za msingi na sekondari kunufaika na upatikanaji bure wa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la ‘Vodacom Instant Schools portal’.Kampuni inayoongoza kidijitali nchini ya Vodacom Tanzania PLC inafanya kazi na shule pamoja na taasisi mbalimbali za elimu nchini kutoa huduma ya mafunzo ya dijitali bila gharama yoyote. Taasisi zilizonufaika na huduma hii ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...