Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALAT wazindua maadhimisho ya miaka 30

JUMUIYA ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) imezindua rasmi maadhimisho ya m iaka 30 ya jumuiya hiyo, yanayolenga kuweka wazi mafanikio yaliyotokana na Serikali za Mitaa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

ALAT yazindua mchakato wa maadhimisho ya miaka 30

11

Mwenyeki wa ALAT Taifa na Meya Wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi.

Miaka-30-Ya-ALAT2.doc by moblog

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano mkuu wa 31, tuzo za viongozi wa serikali za mitaa (Mayors Award) na miaka 30 ya ALAT kufanyika aprili 8-11, 2015 jijini Dar

1 (1)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana kuhusu Mkutano Mkuu wa 31 wa ALAT utakaokwenda sambamba na Tuzo za Viongozi wa Serikali za Mitaa ‘Mayors Award’ na Miaka 30 ya ALAT, utakaofanyika katika hoteli ya Kunduchi jijijni Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo na (kulia) ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB ambao ndio...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA BILIONI 231.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ALAT YA MTUNUKU TUZO

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limeweka historia ya ukamilishaji wa miradi mikubwa kwa kipidi cha miaka mitano ya uongozi wa Mhe. Rais Dk. John Magufuli iliyogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 231.8.
Akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri hiyo katika kipindi hicho Mkurugenzi Ndug. Aron Kagurumjuli amesema kuwa kwaupande wa miradi ya kisekta imefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi ya Maendeleo kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA TAKRIBAN BILIONI 242.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO, ALAT YAMPA TUZO.


 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka historia katika suala la utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ile ya kimkakati kwa kipindi cha miaka mitano iliyogharimu takribani shilingi bilioni 242.8 fedha zilizotokana na vyanzo vya mapato ya ndani, Serikali kuu na wadau wengine wa maendeleo.

Taarifa hii imetolewa wakati wa uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa kipindi cha miaka mitano katika kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo katika...

 

9 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MICHUZIBLOG!

Ndugu zangu,   KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake.   Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi.   Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA NDIJANI, ZANZIBAR

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi Asma Abdalla Khamis...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani