MAADHIMISHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA NDIJANI, ZANZIBAR

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi Asma Abdalla Khamis...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA MIAKA 69 YA UHURU WA INDIA UBALOZI MDOGO MIGOMBANI, ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo24 Apr
MH SAMIA SULUHU AZINDUA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR


10 years ago
Vijimambo
SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO


10 years ago
Vijimambo
MAONESHO YA MIAKA 90 SKULI YA SEKONDARI YA BENBELLA


10 years ago
Michuzi
DKT. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA SEKONDARI BENBELLA



10 years ago
Michuzi.jpg)
mhe mizengo pinda akabidhi madawati skuli ya kiembesamaki, zanzibar
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Vyoo vipya 18 vya Skuli ya Kijitoupele Zanzibar vyafunguliwa rasmi


