Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA MIAKA 69 YA UHURU WA INDIA UBALOZI MDOGO MIGOMBANI, ZANZIBAR

Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar akipandisaha bendera kuadhimisha miaka 69 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar akitowa heshima baanda ya kupandisaha bendera wakati ukiimbwa wimbo wa taifa wa India. wakati wa kuadhimisha miaka 69 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na Balozi Mdogo Mpya wa India Zanzibar

Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

11 years ago

Michuzi

ujumbe wa ubalozi mdogo wa malawi Dubai watembelea ubalozi mdogo wa tanzania Dubai

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania,Dubai leo AMEKUTANA NA MHESHIMIWA GELINA, BALOZI MDOGO WA MALAWI, DUBAI NA UJUMBE WAKE KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MALAWI. Mheshimiwa Omar Mjenga  akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kulia kwake ni Mheshimiwa Bi Gelina Balozi Mdogo wa Malawi. Na kulia kwa Mheshimiwa Gelina ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu (DAP) kutoka wizara ya mambo ya nje ya Malawi. Kushoto kabisa mwa picha ni Mhasibu Mkuu wa wizara hiyo na kulia...

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA WASHEREHEKEA MIAKA 51 YA UHURU

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima akiwa  na mkewe Mama Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ubalozi wa Tanzania nchini humo uliandaa sherehe fupi kuuenzi Muungano.Balozi Mlima akitoa hotuba fupi wakati  wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na ZanzibarBalozi Mlima akikata keki kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar....

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 66 YA UHURU WA INDIA

Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akipandisha Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo, maadhimisho hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akitowa heshima wakati upandishaji wa Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya Obalozi Mdogo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA



Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akisalimiana na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.Baadhi ya viongozi wa nchi wakiwa jukwaa kuu.
Askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wakitoa heshima kwa Rais Kikwete.
Haya ni maonyesho ya halaiki.
Baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

JK kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo

‘Happy birthday Tanganyika’. Miaka 52 imetimia tangu Tanganyika (sasa Tanzania), kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza, Desemba 9, mwaka 1961.

 

11 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA ZAFANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakiwasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania Bara leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani