Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyoo vipya 18 vya Skuli ya Kijitoupele Zanzibar vyafunguliwa rasmi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akivizindua rasmi vyoo vya Skuli ya Kijitoupele A, B na Sekondari pamoja na Mifereji na Tangi la Maji vilivyojengwa na ufadhili ya Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Watoto { UNECEF }. Mifereji Maalum iliyozunguukwa na wanafunzi kwenye sherehe ya kuzinduliwa rasmi ambayo imejengwa kwa ajili ya kuhudumia wanafunzi wa Skuli ya Kijitoupele A,B na Sekondari. Moja kati ya madarasa ya skuli ya msingi ya Kijitoupele yanaonekana kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF IDDI AFUNGUA RASMI SKULI YA SECONDARY YA FARAJA ZANZIBAR

Jengo la Skuli ya Secondary ya Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kushoto akisalimiana na Muwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Viwanja vya ndege vyafunguliwa indonesia

Viwanja kadhaa vya ndege vyafunguliwa katika kisiwa cha Indonesia baada ya kufungwa na wingu kubwa la jivu la volkano.

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA



Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA NDIJANI, ZANZIBAR

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi Asma Abdalla Khamis...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga.

 

10 years ago

Michuzi

mhe mizengo pinda akabidhi madawati skuli ya kiembesamaki, zanzibar

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ameketi  katika moja ya madawati  yakisasa aliyo  yapokea kutoka kiwanda cha Jambo Plastics Ltd ya Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuisaidia Skuli ya Kiembe samaki Zanzibar anaye shuhudia katikati waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omari Yusufu Mzee. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Plastics Limited Rupa Suchak katika sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar ambako Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar kikazi  Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa vituo vya mapumziko na vyoo vya wasafiri katika kijiji cha Idetero, Mufindi-Iringa

1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, jana Okt 17, 2015. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero...

 

5 years ago

Michuzi

SIMU YA TECNO CAMON 15 SASA YAZINDULIWA RASMI, WAPENZI WA VITU VIPYA WAKARIBISHWA

KAMPUNI ya simu za mkononi  ya TECNO, imezindua  rasmi simu yake mpya CAMON 15 ambayo imesheheni sifa mbalimbali ikiwemo  kamera ya nyuma yenye MP64 na mbele MP32 ambayo imewekewa  teknolojia  kubwa yenye uwezo wa kupiga picha mahali popote na wakati wowote.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hiyo wiki hii jijini Dar es Salaam kupitia mitandao ya kijamii meneja uhusiano wa kampuni hiyo, Eric Mkomoya, alisema  simu hiyo itawasaidia sana watu wanaopenda  kutumia kamera katika nyanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani