Malasusa aongoza ibada kuliaga kanisa litakalokumbwa na bomoabomoa
 “Kwaheri kanisa letu.†Ndiyo maneno yaliyokuwa yakisemwa na waumini wa Usharika wa Kibamba wakati Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa akiwaongoza waumini wa kanisa hilo katika ibada ya mwisho jana, kabla ya kanisa hilo kubomolewa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Apr
Padri Audax Kaasa aongoza ibada katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar Es Salaam
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam, Katikati aliyeshikilia msalaba huo ni Padri Audax Kaasa wa kanisa hilo.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Mtoto Benedicta Mushi, ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Masaka English Medium akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu, kulia kwa mtoto huyo ni Baba mzazi Philip Mushi.
Waziri wa Mambo ya Nje...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Bomoabomoa yakumba Kanisa la Anglikana Dar
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Kanisa kuandaa ibada ya Star Wars
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-tilWzYI7KGg/VdCXTj8gDWI/AAAAAAAAXy0/_9DNxWvaY34/s72-c/MMGL0024.jpg)
LOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI
![](http://3.bp.blogspot.com/-tilWzYI7KGg/VdCXTj8gDWI/AAAAAAAAXy0/_9DNxWvaY34/s640/MMGL0024.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-uF3QLRQiKRw/VdCXUVxYqHI/AAAAAAAAXy4/QL3GZe-4h4c/s640/MMGL0047.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-83_PVGaHH1A/VdCXU5gR8-I/AAAAAAAAXy8/b0J_XG2Iszs/s640/MMGL0061.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-q5-yF9KSrwQ/VdCXVdaIuEI/AAAAAAAAXzM/zAHEKKva2cQ/s640/MMGL0082.jpg)
10 years ago
MichuziIBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLMAMA KANUMBA AONGOZA IBADA FUPI MAKABURINI
10 years ago
Vijimambo07 Apr
Radi yapiga kanisa, yaua watu watano walikuwa katika ibada ya Pasaka.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Joseph%20konyo-7April2015.jpg)
Watu watano wamefariki dunia papo hapo katika kijiji cha Shilabela, kata ya Bwanga, wilayani Chato, mkoa wa Geita, baada ya kupigwa na radi wakati wakiendelea na ibada ya Sikukuu ya Pasaka.
Tukio hilo lilitokea juzi jioni kwenye Kanisa la Assemblies of God Tanzania (AGT) na kujeruhi watu wengine 18 wakati wakiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka. Kati ya majeruhi hao, wanne wamelazwa katika Zahanati ya Bwanga,...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-KkXG-8E8s4Y/Uz7AJcfLneI/AAAAAAAAoWE/rd6HXpwrdd8/s72-c/1.jpg)
IBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO
![](http://3.bp.blogspot.com/-KkXG-8E8s4Y/Uz7AJcfLneI/AAAAAAAAoWE/rd6HXpwrdd8/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gGFI7xjea_4/Uz7AOhpqpkI/AAAAAAAAoWo/Khye_bBIadM/s1600/6.jpg)
10 years ago
MichuziPINDA ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA MAKAO MAKUU YA JIMBO LA MASHARIKI YA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA