Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PINDA ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA MAKAO MAKUU YA JIMBO LA MASHARIKI YA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika uzinduzi wa Makao Makuu ya Jimbo la Mashariki la Kanisa la Moravian Tanzania eneo la Chamazi jijini Dar es salaam Mei 3, 2015 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AHUDHURIA IBADA UA KUMWEKA WAKFU ASKOFU WA MORAVIAN JIMBO LA RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha askofu huyo iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25,2014.. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Moravian Jimbo la Rukwa

PG4A0458

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga  May 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0514

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha  askofu huyo iliyofanyika  kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE NASSARI ASHIRIKI MDAHALO ULIOANDALIWA MAKAO MAKUU YA BENKI YA DUNIA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari (wa pili toka shoto) akiwa ni miongoni mwa wawasishaji wa mada katika mdahalo maalumu uliofanyika Makao Makuu ya Benki ya DuniaMbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari (katikati) akichangia mada iliyosema "The Fundamental Role of Education and Skills ,addressing the Challenge of Youth Education " katika mdahalo maalumu uliofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia ambapo Mh Nassari alikuwa ni miongoni mwa wawasilishaji wa mada....

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAZEE KANISA LA MORAVIAN TABATA LAWATOA HOFU WAUMINI, LAKANUSHA TAARIFA YA KUZUILIWA KWA IBADA

Wakili wa kujitegemea wa Baraza la wazee wa kanisa la Moravian Usharika wa Tabata Bw. Benjamin Mwakambe akiongea na waandishi wa habari kuhusu amri ya iliyotolewa na mahakama kuzuia Bodi ya wadhamini wa kanisa la Moravian Kanda ya Kusini kusimamisha huduma za kiroho na kijamii katika eneo hilo. Wengine ni Mzee Kiongozi wa Usharika huo Bw.Ernest Isakwisa(kulia) na Hamphrey Mgema (kushoto) Baadhi ya Wazee wa Kanisa la Moravian usharika wa Tabata wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa kanisa Moravian Tanzania wakati akifungua Mkutano wa Kitaifa wa kanisa hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma. Baadhi ya viongozi wa kanisa la Moravian Tanzania wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa kitaifa wa kanisa hilo hapa nchini uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishiriki na waumini wenzake wa kikristo katika ibada ya Jumapili, Kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Monduli, Jijini Arusha, leo Agosti 16, 2015.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ashiriki Ibada mjini Dodoma

IMGL9282

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki  katika ibada ya kwanza  ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba  mjini Dodoma Juni 14, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL9289

IMGL9319

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma

IMGL9346

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani