Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Moravian Jimbo la Rukwa

PG4A0458

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga  May 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0514

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha  askofu huyo iliyofanyika  kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AHUDHURIA IBADA UA KUMWEKA WAKFU ASKOFU WA MORAVIAN JIMBO LA RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha askofu huyo iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25,2014.. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu Massangwa jijini Arusha

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa jana kwenye Usharika wa Kimandolu. Viongozi waliohudhuria ibada hiyo katika Usharika wa Kimandolu,kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Eraston Mbwilo,Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Daniel Ole Njolay na Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ahudhuria sherehe za kumweka wakfu Askofu wa Anglican Dodoma

PG4A1118

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani   kwenye  kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma  Novemba 23, 2014.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1123

Baadhi ya washiriki wa  Ibada ya  kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani  wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma ...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AHUDHURI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MWAIPOPO WA DAYOSISI YA SUMBAWANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakisalimiana na Askofu Damian Kyaruzi wa Jimbo la Sumbawanga (kulia) katika Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika, Ambele Mwaipopo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la kiinjili la Kilutheri la mjini Sumbawanga Septemba 21, 2014. Wapili kushoto ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Alex Malasusa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakimkabidhi zawadi Askofu wa...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA MAKAO MAKUU YA JIMBO LA MASHARIKI YA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika uzinduzi wa Makao Makuu ya Jimbo la Mashariki la Kanisa la Moravian Tanzania eneo la Chamazi jijini Dar es salaam Mei 3, 2015 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

JK ahudhuria ibada ya kusimikwa askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu

ais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.---------------------------------Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumapili, Aprili 12, 2015 ameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Shinyanga, kuhudhuria Ibada rasmi ya kumweka wakfu na kumsimika...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MOHAMED GHARIB BILAL AHUDHURIA KUWEKWA WAKFU ASKOFU KENEN PANJA MJINI TUKUYU LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani humo leo Sept 20,2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu mteule  wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim  Pannja zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu  Mkoani Mbeya. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

IGP AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU WA KATOLIKI SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mtawa wa kanisa katoliki pamoja na wananchi waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi Thobias Sedoyeka. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na watawa wa kanisa katoliki waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani