Kanisa Katoliki lafunga Parokia 50
KANISA Katoliki duniani limeamua kufunga zaidi ya parokia 50 katika Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la New York nchini Marekani, katika mkakati wa kanisa hilo kujinusuru na madeni ya parokia zisizojiendesha, ambao haujawahi kufanyika katika miaka 164 ya jimbo hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
MichuziKANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
11 years ago
Michuzisherehe za kipaimara na uwekaji jiwe la msingi kwa kanisa jipya parokia ya babati
Miongoni mwa vijana 116 waliopatiwa Kipaimara na Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya, kwenye kanisa la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati juzi, hapa wakipita mbele ya wageni na waumini mbalimbali wa eneo hilo.
Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya akiweka jiwe la msingi juzi kwenye ujenzi wa kanisa jipya la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati, linalotarajia kugharimu sh915 milioni.
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU KANISA LA MTAKATIFU YOHANA- MARIA MZEYI PAROKIA YA MLIMANI CHATO MKOANI GEITA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita leo tarehe 10/04/2020.Padre Innocent Sanga akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia...
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Kanisa Katoliki kortini Poland
11 years ago
Habarileo30 Jun
Membe apongeza Kanisa Katoliki
KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
UN yalaani sera za kanisa katoliki
9 years ago
BBCSwahili04 Oct
Kanisa Katoliki linajidili upya familia